Afisa Elimu wetu wa Nach. acha hizo.

mfichuamaovu

New Member
May 10, 2012
1
0
Mkuu kwanza nakupongeza sana kwa kupiga mzigo wa ukweli. kwa kipindi kifupi tangu ufike huku tumekuona kuwa wewe ni jembe haswa. lakini cha kinachotusikitisha ni kuwa unatumia cheo chako vibaya. unatumia cheo hicho kuwarubuni watu walio chini yako.-ili kujinufahisha mwenyewe. unatumia cheo hicho kuwarubuni walimu wenye umri mdogo, kwa wadau wa Elimu tunasema ni UFATAKI. Acha tabia hiyo ya kutembea na watumishi wako watashindwa kiufanya kazi iliyowaleta Jina tunalo siyo vizuri. Tunaomba ufanye kazi iliyokuleta hasa ya kuinua Elimu kwa sisi watu wa kusini.Mwalimu Nyerere alisema Kiongozi anayetumia madaraka yake vibaya huo ni ufisdi. Kwako tunasema ni ufisadi wa mapenzi na unahujumu elimu. tunakupenda sana
 
Poleni na mambo ya huyo afisa elimu wenu. Pia hapa ni jukwaa la siasa, peleka hii topic yako kwenye jukwaa linaloendana. KARIBU JF
 
Natumani mleta hoja alikusudia kumsema " Afisa Elimu wa Wilaya ya Nachingwea, Mkoa wa Lindi, Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania.
Mengine yabaki kama yalivyowasilishwa....
 
Back
Top Bottom