Afikishwa Mahakamani kwa Kufanya Ngono na Mbwa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Afikishwa Mahakamani kwa Kufanya Ngono na Mbwa

Discussion in 'Jukwaa la Sheria (The Law Forum)' started by kilimasera, Aug 27, 2012.

 1. kilimasera

  kilimasera JF-Expert Member

  #1
  Aug 27, 2012
  Joined: Dec 2, 2009
  Messages: 3,073
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  Mwanamke mmoja wa nchini Afrika Kusini ametiwa mbaroni baada ya kuwasumbua majirani kwa muda mrefu akifanya mapenzi na mbwa wawili na pia akirekodi video akifanya mapenzi na mbwa hao.
  Mwanamke mmoja mkazi wa Pretoria nchini Afrika Kusini amepandishwa kizimbani kwa tuhuma za ukatili kwa wanyama baada ya kugundulika kuwa kwa muda mrefu amekuwa akifanya mapenzi na mbwa wake wawili.


  Mwanamke huyo mzungu mwenye nywele za hudhurungi alitiwa mbaroni siku ya jumatatu baada ya malalamiko ya mwanamke huyo kufanya mapenzi na mbwa kupelekwa kwenye taasisi ya kulinda wanyama.


  Kwa mujibu wa vyanzo vya polisi, mtu mmoja ambaye hakutaka kugundulika alipeleka DVD ya mwanamke huyo akifanya mapenzi na mbwa kwenye taasisi ya kutetea haki za wanyama ambayo iliamua kupeleka suala hilo polisi.


  Polisi walipewa kibali cha kuisachi nyumba ya mwanamke huyo ambapo DVD nyingi sana za mwanamke huyo akifanya mapenzi na mbwa zilipatikana.


  "Inavyoonekana alikuwa akirekodi video za mapenzi yake na mbwa kwa muda mrefu sana. Alitiwa mbaroni muda mfupi baada ya nyumba yake kusachiwa", kilisema chanzo cha polisi.


  Mwanamke huyo alipandishwa kizimbani siku ya alhamisi ambapo hakimu aliamuru mwanamke huyo apimwe akili zake kabla ya kesi hiyo haijaendelea zaidi.


  Akitoka mahakamani baada ya kulipiwa dhamana na rafiki yake wa kiume, mwanamke huyo alijificha sura yake kwa kutumia gazeti ili waandishi wa habari wasimpige picha.


  Mbwa waliokuwa wakifanya mapenzi na mwanamke huyo wamechukuliwa na kupelekwa sehemu nyingine kwa uchunguzi zaidi.
   
 2. mathematics

  mathematics JF-Expert Member

  #2
  Aug 27, 2012
  Joined: Feb 21, 2012
  Messages: 3,256
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 145
  Duniani kuna mambo!!
   
 3. J

  JATELO1 JF-Expert Member

  #3
  Aug 27, 2012
  Joined: Oct 31, 2011
  Messages: 1,234
  Likes Received: 46
  Trophy Points: 145
  Wazungu wana mambo ya ajabu sana. Mimi leo kwenye basi nimemshuhudia msichana mmoja wa kizungu akiwa na mwa wake wawili akiwabusu mbele za watu bila kujali. Msichana mwenyewe inaonekana ana umri kati ya miaka 18-20 hivi.
   
 4. twatwatwa

  twatwatwa JF-Expert Member

  #4
  Aug 27, 2012
  Joined: Sep 19, 2011
  Messages: 2,019
  Likes Received: 75
  Trophy Points: 145
  Kafiri mkubwa
   
 5. w

  wa home JF-Expert Member

  #5
  Aug 28, 2012
  Joined: Mar 16, 2012
  Messages: 229
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  akiwa na mwa wake. Mwa ndo nn mkuu?.
   
 6. MziziMkavu

  MziziMkavu JF-Expert Member

  #6
  Aug 28, 2012
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 39,204
  Likes Received: 3,996
  Trophy Points: 280
  [TABLE="width: 491"]
  [TR]
  [TD="colspan: 3"][/TD]
  [/TR]
  [TR="bgcolor: #E1E1E1"]
  [TD][​IMG]
  Mwanamke aliyetiwa mbaroni kwa kufanya mapenzi na mbwa akificha sura yake alipokuwa akitoka mahakamani[/TD]
  [TD]Mwanamke mmoja wa nchini Afrika Kusini ametiwa mbaroni baada ya kuwasumbua majirani kwa muda mrefu akifanya mapenzi na mbwa wawili na pia akirekodi video akifanya mapenzi na mbwa hao.[/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TD="colspan: 3"]Mwanamke mmoja mkazi wa Pretoria nchini Afrika Kusini amepandishwa kizimbani kwa tuhuma za ukatili kwa wanyama baada ya kugundulika kuwa kwa muda mrefu amekuwa akifanya mapenzi na mbwa wake wawili.

  Mwanamke huyo mzungu mwenye nywele za hudhurungi alitiwa mbaroni siku ya jumatatu baada ya malalamiko ya mwanamke huyo kufanya mapenzi na mbwa kupelekwa kwenye taasisi ya kulinda wanyama.

  Kwa mujibu wa vyanzo vya polisi, mtu mmoja ambaye hakutaka kugundulika alipeleka DVD ya mwanamke huyo akifanya mapenzi na mbwa kwenye taasisi ya kutetea haki za wanyama ambayo iliamua kupeleka suala hilo polisi.

  Polisi walipewa kibali cha kuisachi nyumba ya mwanamke huyo ambapo DVD nyingi sana za mwanamke huyo akifanya mapenzi na mbwa zilipatikana.

  "Inavyoonekana alikuwa akirekodi video za mapenzi yake na mbwa kwa muda mrefu sana. Alitiwa mbaroni muda mfupi baada ya nyumba yake kusachiwa", kilisema chanzo cha polisi.

  Mwanamke huyo alipandishwa kizimbani siku ya alhamisi ambapo hakimu aliamuru mwanamke huyo apimwe akili zake kabla ya kesi hiyo haijaendelea zaidi.

  Akitoka mahakamani baada ya kulipiwa dhamana na rafiki yake wa kiume, mwanamke huyo alijificha sura yake kwa kutumia gazeti ili waandishi wa habari wasimpige picha.

  Mbwa waliokuwa wakifanya mapenzi na mwanamke huyo wamechukuliwa na kupelekwa sehemu nyingine kwa uchunguzi zaidi.[/TD]
  [/TR]
  [/TABLE]
  Mwanamke Mbaroni Kwa Kufanya Mapenzi na Mbwa
   
 7. Kiby

  Kiby JF-Expert Member

  #7
  Aug 28, 2012
  Joined: Nov 16, 2009
  Messages: 4,851
  Likes Received: 586
  Trophy Points: 280
  Hakua akifanya mapenzi bali ngono! Mapenzi mnayajua?
  .
   
 8. Kiby

  Kiby JF-Expert Member

  #8
  Aug 28, 2012
  Joined: Nov 16, 2009
  Messages: 4,851
  Likes Received: 586
  Trophy Points: 280
  Alikuwa akifanya ngono bana. Sio mapenzi.
  .
   
 9. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #9
  Aug 28, 2012
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 29,954
  Likes Received: 5,102
  Trophy Points: 280
  khaaaaaaaaaaaa
   
 10. k

  kaeso JF-Expert Member

  #10
  Aug 28, 2012
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 551
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Hii dunia...!! Kha........!
   
 11. Baba V

  Baba V JF-Expert Member

  #11
  Aug 28, 2012
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 19,506
  Likes Received: 150
  Trophy Points: 160
  Maendeleo
   
 12. m

  maswitule JF-Expert Member

  #12
  Aug 28, 2012
  Joined: Nov 5, 2010
  Messages: 1,387
  Likes Received: 66
  Trophy Points: 145
  Aise kwa wazungu hilo si ajabu
   
 13. Watu8

  Watu8 JF-Expert Member

  #13
  Aug 28, 2012
  Joined: Feb 19, 2010
  Messages: 46,399
  Likes Received: 1,138
  Trophy Points: 280
  huyo mbwa atakua mtaalam wa hiyo shughuli si mchezo
   
 14. cacico

  cacico JF-Expert Member

  #14
  Aug 28, 2012
  Joined: Mar 27, 2012
  Messages: 8,392
  Likes Received: 127
  Trophy Points: 160
  puuuuuuuuuuuuuuuu! hawanaga kinyaaaaaaaaa?? laanakhum!
   
 15. Ritz

  Ritz JF-Expert Member

  #15
  Aug 28, 2012
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 42,187
  Likes Received: 4,541
  Trophy Points: 280
  Wazungu wana akili sana.
   
 16. MATESLAA

  MATESLAA JF-Expert Member

  #16
  Aug 28, 2012
  Joined: Aug 11, 2011
  Messages: 1,252
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Aiseee babaangu mahakama impe hadhabu ya kufanya na punda

  leo sinywi mbege naomboleza kamanda aliyekufa moro
   
Loading...