AFCON 2013: Kutoka Africa Kusini

EUROSPORT nazo ziko nyingi.....Labda wasiliana na customer care wako kama inawezekana, ila kwa ulaya mechi ni live katika EUROSPORT
Hawa waliopo ZUKU ni habari za michezo 24 hrs.
 
duu huyu kapteni wa south sijui kachezea yanga maana hizo ni karate..
 
ZUKU hawaonyeshi, wanayo inaitwa Eurosports News.

Eurosports News ni kwa ajili ya habari za michezo tuu na siyo live matches.

I'm sure Eurosport International itakuwa inaonyesha.
 
Najuta Kuitizama hii Mechi Mbovu...
 
SA wabovu, halafu motivation hamna. Wanaweza tena kuweka recodi ya kutolewa round ya 1 kwente afcon (record waliyoweka pia kwenye WC)
 
Mechi ya pili vipi wakuu.....Hakuna anayetazama??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…