Kiongozi Fofader mambo magumu kwa wanaijer sio? waambie hao sie Bukinabe kama tunanawaZanta bana hata wewe unajua leo mambo magumu.
Sent from my GT-P7500 using Tapatalk HD
weraaa Ahsante nadhani tutakua wote jukwaani leo usikimbiulie kulala
Muda si mrefu kipute kitaanza.
Na maraisi wa "wasafi" lazima watakuwepo...Nyimboa za Taifa, hahaha nieona marais watatu Rais wa Fifa, Rais wa CAF na Rais wa South Africa...yani hili jina la Urais hili unaweza kuchanganya ukajua wote wazifa mmoja lol
Bukinabe....Kuna mama Mbukinabe aniimba kwa hisia halafu unataka kuniambia Bukinabe watoke kapa hapa no way!!!
Nadhani huyu atakuwa makini.Refa wa Leo anatoka Algeria asituketee kama yale ya yule Mtunisia, Hawa waarabu hawa !
fitna za yule Mtunisia hazikuzaa matunda ile kadi ilifutwa na CAF kwa hiyo jamaaa ruksa kucheza leoNimefurahishwa na baadhi ya wachezaji wa Nageria jinsi walivyompa mkono wa salaam Rais Zuma ! Wameonyesha nidhamu ya Kiafrika. Nina furaha kuangalia fainali hii. Kumbumbuka nawaunga mkono Burkabe(Burka Faso). Hivi jembe letu Patroipa ameruhusiwa kucheza fainali na kadi ile?
Ahsante kwa taarifa, siku ile refa yule alinipandisha hasira sana!fitna za yule Mtunisia hazikuzaa matunda ile kadi ilifutwa na CAF kwa hiyo jamaaa ruksa kucheza leo