AFCON 2013: Kutoka Africa Kusini

AFCON 2013: Kutoka Africa Kusini

There are currently 32 users browsing this thread. (9 members and 23 guests)
Ingekua fainali UEFA ungeona watu walivyojanzana hapa lakini kisa Africa hakuna hata anayeguswa,
Kweli miafrika ndovyo tulivyo
 
Bukinabe leo defence yao inapwaya lazima wiarekebishe, halkafu ile kasi leo hawana kabisa
 
Nigeria naona wako serious kidogo, wanafika mara kwa mara langoni kwa Burkinabe ! Ila bado nina imani na Burkinabe
 
Ingekua fainali UEFA ungeona watu walivyojanzana hapa lakini kisa Africa hakuna hata anayeguswa,
Kweli miafrika ndovyo tulivyo
Kuna uzi mwingine hapo chini wa hii fainali, nadhani wengi wapo huko.
 
Mpaka afungwe mtu ndio mpira utakuwa mzuri!

Sent from my GT-P7500 using Tapatalk HD
 
Nigeria watajuta baadae nafasi walizopoteza na wanazopoteza.
 
hata ghana walianza kufunga hivi hivi, Bukinabe wanaamka sasa
 
Nigeria watutandika 1 waburkinabe kabla ya mapumziko. Nigeria 1 Burkinabe 0.
 
Bukinabe wameanza mashabulizi mpira utakua mzuri
 
Back
Top Bottom