AFCON 2013: Kutoka Africa Kusini

AFCON 2013: Kutoka Africa Kusini

Jezi waliyovaa Bukinabe ndio imeharibu!

Sent from my GT-P7500 using Tapatalk HD
 
Burkinafaso wanatakiwa wabadirike kipindi cha pili, vinginevyo my broda frooom naiijeriya ndio mabingwa wa afcom 2013.
 
Bukinabe leo defence yao inapwaya lazima wiarekebishe, halkafu ile kasi leo hawana kabisa
Walikimbiza sana mechi ya nusu fainali nadhani wanaweka akiba nguvu kwa ajili ya kipindi cha lala salama
 
Half time, nigeria 1 bukinabe 0 mpira hauna ladha kabisa zaidi ya mavuvuzela yanayorindima na uwanja kujaa full. Bukinafaso hawajiamini wameeanya kama mashambulizi mawili ya kustukiza na yote hayakuwa hatari. Bora mshindi apatikane ndani ya dk 90 kuliko kwenda xtra time kwa pafomansi hii mbovu.
 
Yule mchezaji wa Bukinabe aliyeumia ndio ilikua mechi yake hii. Bahati mbaya.

Sent from my GT-P7500 using Tapatalk HD
 
Burkinabe have to be sharp in front of Vicent goal to secure the honour of AFCON Cup
 
Uche is coming off while Musa is coming on for Nigeria. 53th minutes substitution is being done for Nigeria
 
Burknabe are pushing forward harder...70th minutes. They have a free kick now.
 
Usisononeke sana wamekufa kiume. Achievement yao bado ni kubwa.

Sent from my GT-P7500 using Tapatalk HD
 
Kagoli kamoja sio uhakika sana kwa mechi kama hii. Linaweza kurudishwa hivi hivi.
 
three minutes to 90th minutes...AFCON Cup glory seems to head to Nigeria
 
Back
Top Bottom