Afariki baada ya mpenzi wake kumnyonya shingoni

Ila vitu vingine ni hatarii, sasa hapo shingoni kuna mishipa laini sasa aking'ata kwa nguvu si anaivunja? Duuuh
Poleee yake.
 
Mapenzi mbaya mapenzi mabaya mapenzi mabaya.
 
Kunyonya shingo ni hatari sana,kuna Carotid artery inayopeleka damu nyingi kwenye ubongo ,upande wa kulia na kushoto wa shingo ,sasa love bite inasababisha blood clot( Damu kuganda)na hii inapunguza usambazaji wa damu kwenye ubongo . Mwisho mtu anapata Ischaemic Stroke .
 
Duhh na wanavyofanyia sifa siku hizi ili aonekane hakuwa mdhaifu kwenye mechi๐Ÿ˜
 
Kuna majitu hayajui tofauti ya kung'ata kawaida na love bites.. siku moja niling'atwa kifuani nikatoa ukelele wa uchungu binti akadhani ndo kapatia akaning'ata tena mara ya pili nikamsukuma na kumpiga marufuku kuning'ata tena.
 
Mtoto mdogo miaka 17 anakimbilia mapenzi! mwana kulitafuta mwana kulipata
 
CC: all UDSM chicks.
 
Love bite inaua kama mtu atakusa mshipa muhimu wa damu apo shingon pia mpenzio anaweza kukuua au kukusababishia kiharus makusudi kwa kuubana mshipa wa shingo kupitia mdomo wakat wa mahaba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ