Afariki baada ya mpenzi wake kumnyonya shingoni

Miss Halima

JF-Expert Member
Joined
Aug 4, 2026
Posts
302
Reaction score
644
Kijana mwenye umri wa miaka 17 kutoka Mexico City, Mexico, ameripotiwa kufariki baada ya kupata kile kinachojulikana kama love bite au hickey shingoni kutoka kwa mpenzi wake.

Kwa mujibu wa taarifa, nguvu ya kunyonya kwenye ngozi ya shingo inadaiwa kusababisha damu kuganda ndani ya mshipa, na baadaye damu hiyo iliyoganda kusafiri hadi kwenye ubongo na kusababisha kiharusi kikubwa.

Inadaiwa kuwa kijana huyo alianza kupata degedege akiwa mezani na familia yake, kisha akapoteza fahamu. Wahudumu wa dharura walijaribu kumuokoa lakini hawakufanikiwa.

Madaktari wanaeleza kuwa eneo la shingo lina mishipa muhimu ya damu, hivyo majeraha makali au shinikizo lisilo la kawaida yanaweza, katika visa vya nadra sana, kuharibu mshipa au kuchochea kuganda kwa damu.


 
Aisee, it's a very rare case lakini inatokea. Sio kwamba kila hickey inaua, hapana. Ila huyu mshkaji alipata ile inayoitwa trauma to the artery. Yaani huyo mwanamke alimnyonya kwa nguvu mpaka akaharibu mshipa wa ndani. Bahati mbaya iliyoje!
 
Sasa kunyonya shingo ina raha gani kwa Mwanaume?
Si bora kunyonya ile engine yenyewe angalau utapata madini ya Chumvi,

Au nasema uongo ndugu wananchi?
Kuna wengine hisia zao zipo shingoni😀😀😀ukiikalia kwa juu halafu ukimlalia kifuani na kumkiss kiss shingoni anamwaga hadi dhambi na anapiga nduru kabisa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…