Afariki baada ya KUZIMIA kwa muda wa miaka 42

Afariki baada ya KUZIMIA kwa muda wa miaka 42

hawezi fikia hiii, miaka 42 sio mchezo!

cacico i thought Mr.A.Sharon,the former Israel Mp could make a very record of being in a such situation of coma since 2005! Poor me i was kidding myself,R.I.P Bi.Edwarda.
 
sharoo hawezi fika hata nusu ya hii ya huyu mdada, kwa sasa sharon ni mzee zaidi

Sio mwenyewe tu me nilikuwa nafikiri A. Sharon ataweka record kumbe yupo mwingine. Kwa kweli MUNGU wetu ni MKUU na mawazo yetu hayatakaa yamfikie yeye milele, R.IP. Bi. Ed.
 
imagine! he is still breathing through machines though at his residence! MUNGU WETU HAKIKA NI MTUKUFU SANA! inashangaza na kustaajabisha!! NDIO MAANA MBINGUNI KUNA MALAIKA WANAMUABUDU 24 HOURS DAY AND NIGHT BILA KUCHOKA!! ALIKUWEPO KABLA YA CHOCHOTE NA YUPO, NA ATAENDELEA KUWEPO! AMEN! (hii habari ya Edwarda imenifundisha kitu, imeniliza)!

KWELI DA cacico HATA MIMI IMENIHUZUNISHA KWELI KWELI,LAKINI HAYA YOTE NI MUNGU KUJIDHIHILISHA UWEPO WAKE KWA WENGI WETU TUNAOONEKANA KUKATA TAMAA NA KUTEKWA NA MAMBO YA KIDUNIA ZAIDI,LAKINI BADO INAACHA MASWALI MENGI ZAIDI KICHWANI MWANGU.
 
Last edited by a moderator:
It is very sad story. Yaani wakati nasoma hii story tokea jana machozi yalikuwa yananitoka nikawa naiahirisha mpaka mchana huu ndo nimeimaliza. Hii familia imenifundisha mambo mazito sana. UPENDO WA DHATI. Hakika wameweza kuikeep Promise ambayo mamayake aliitoa kwake. Naamini huko walipoenda familia hii itakutana tena.
 
haya ni maajabu ya MUNGU mimi nililitambua hilo kwa baba yangu mzazi huko India! alipatwa na mshtuko wa ubongo akalala kwa wiki TATU !
kAMA SI KUPATA NA TATIZO LA FIGO MADAKTRI WALINIAMBIA ANGEWEZA KUKAA HIVO KWA MUDA USIOJULIKANA!
nILIOGOPA SANA BAADA YA KUAMBIWA TUNGEWEZA KUMREJESHA KATIKA HALI HIYO !HATA HIVO MUNGU ALIMPUMZISHA BAADA YA SIKU YA 22 BAADA YA FIGO KUSHINDWA KUFANYA KAZI .....MUNGU NI MKUBWA ,
PEMBENI MWA KITANDA CHA BABA KULIKUWA NA CEO WA TATA CO.ALIKUWA AMELELA HAPO KWA MIAKA 2!
NDIPO NIPOHAKIKISHA KUWA PESA MBELE YA UHAI SI CHOCHOTE !PEASANT NA MOJAWAPO WA MATAJIRI DUNIANI WALIKUWA WAMELALA SEHEMU MOJA NA KITU KINACHOFANANA!
 
Thats explains the power of god!

haya ni maajabu ya mungu mimi nililitambua hilo kwa baba yangu mzazi huko india! Alipatwa na mshtuko wa ubongo akalala kwa wiki tatu !
Kama si kupata na tatizo la figo madaktri waliniambia angeweza kukaa hivo kwa muda usiojulikana!
Niliogopa sana baada ya kuambiwa tungeweza kumrejesha katika hali hiyo !hata hivo mungu alimpumzisha baada ya siku ya 22 baada ya figo kushindwa kufanya kazi .....mungu ni mkubwa ,
pembeni mwa kitanda cha baba kulikuwa na ceo wa tata co.alikuwa amelela hapo kwa miaka 2!
Ndipo nipohakikisha kuwa pesa mbele ya uhai si chochote !peasant na mojawapo wa matajiri duniani walikuwa wamelala sehemu moja na kitu kinachofanana!
 
I'M sad, I'm puzzled, I'm terrified and i'm getting kind of u know spiritual or somethin like that. anyway kama kuna yeyote anaweza kunieleza kisayansi how was ths so possible, yaani nataka kujua ukuaji uliendeleaje apart from brain malfuctioning?
 
Ngumu sana kujibu haya maswali tusubirie professional wa hayo maswala watujuze....
 
It is very sad story. Yaani wakati nasoma hii story tokea jana machozi yalikuwa yananitoka nikawa naiahirisha mpaka mchana huu ndo nimeimaliza. Hii familia imenifundisha mambo mazito sana. UPENDO WA DHATI. Hakika wameweza kuikeep Promise ambayo mamayake aliitoa kwake. Naamini huko walipoenda familia hii itakutana tena.

elezea mkuu kivipi?
 
Thats explains the power of god!

Zinduna, unamaanisha God (Mungu) ama god 'miungu' wengine! Kama unamaanisha Muumba mbingu na nchi basi weka hio G herufi kubwa
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom