Afariki baada ya kutumia dawa za kuongeza nguvu za kiume

Hapa nipo kwenye majonzi mazito baada ya kumpoteza rafiki yangu kipenzi, huyu jamaa yangu alikuwa anapenda sana kutumia dawa za kuboost nguvu zijulikanazo kama, njoi nilimshauli sana kupunguza matumizi ya haya madawa lakini. Alikuwa hata hanielewi, ilikuwa inafikia hatua ana kunywa hadi tatu, hatimaye jana usiku amemaliza mwendo baada ya kuzidisha dozi na umauti umemkuta akiwa gheto kwake usiku wa jana NB VIJANA WENZANGU KUWENI MAKINI NA HAYA MADAWA SIO RAFIKI KWENYE MIILI YETU HAKUNA TUZO UTAYOPATA KWENYE GAME ZAIDI UTATANGULIA NA KUACHA PISI ZINADUNDA MTAANI, KWANINI MJITESE KIASI HICHO?
Halafu alikunywa na pombe 😳
 
yapuu inaitwa njoi nje ya box ina maandishi mekundu yameandikwa njoi boks nzima inakaa moja ipo kama msalaba kana rang kama bluu flan iliyopauka kamoja ni buku phamas yoyote ukisema njoi wanakupa huku wakikukata jicho kama vile umeenda nunua condom na mbaya zaid ukitoka hapo famas nyuma lazima wakujadil na huyu hana nguvu mbona kijana mzur sana, hao ni famasia wadada onyo njoi ni hatar kunywa kistaarabu kaz ni kwako
Buku tu Njoi,aisee vijana watangamia.Kweli kuna siri,wewe ulivyoenda kuchukua famasi awakulizi cheti cha dokta.
 
aisee, kuna jamaa alikunywa k-vant asubuhi akanywa mo energy, akakaa siku tatu bila kunya. Tumbo likauma akaenda massama hospital akapewa dawa akaharisha sana bila kukoma. Akakimbizwa muhimbili akakaa siku mbili tu tukasafirisha kupeleka kwao machame. SABABU KUBWA NI M ENERGY.
Pombe zina principle zake, tatizo watu wanakunywa hovyo tu.

Hiyo asubuhi jamaa angechapa supu maji ya kutosha sana. Sasa kunywa mo ni kulazimisha mwili kuadopt kitu tofauti kabisa na nature yake kwa muda huo.
 
Mwaka 2020 nilienda kwa bi mkubwa nikakuta kiroba cha kilo 25 kimejaa Azam eneegy nikasepa nacho gheto nikaweka kwenye frij zikajaa zingine zikabaki ,,wikiend nikashinda home nikaanza kuzigida na nyama choma kutoka saa 5 mpaka saa 10 nilikunywa energy zile za kopo 6 na zile za chupa ya plastic 5 ebwana enhee zilitaka kunitoa uhai..mapigo ya moyo yakabadilika ghafla pumzi zinanibana tumbo linakwangua balaa..nikaanza kutapika vibaya fasta nikaenda hospital kupewa matibabu pulse rate zilikua juu sana.

Tangu hiyo siku nilikoma kugusa energy kwa fujo.

Ni kwasababu hujazizoea tu mkuu.

Kichocheo kikuu kwenye hivyo vinywaji ni caffein ambapo kikombe kimoja cha kahawa tungu chaweza kuwa na kiasi mara kumi ya chupa moja ya Energy.

Na wanywaji wa kahawa tungu wanapiga vikombe vitano hadi kumi.
 
Huwa najiuliza ukifanya tendo unataka kumfurahisha mtu mwingine au unafurahisha nafsi yako. Siku vijana wakiondoa dhana ya kutaka kumfurahisha mpenzi wake wataacha kutumia hayo madawa

Duuh, mkuu.

Ukikusudia kumfurahisha mpenzi wako mnapata furaha wote wawili.

Kama unalenga furaha yako mwenyewe, waweza tumia hata mdoli /AV kama uko ughaibuni.
Au ujiunge na Chaputa kama upo huko home.
 
Sio tu hizo dawa mm hata huo mkongo sijawahi na sitothubutu..mwanamke ili afike kileleni inabid awe na hisia na ww kwanza,,akikufeel dkk tano nyingi kasharidhika!
Umeupiga mwingi sana mkuu.

Mwanamke akiku-feel hachukui round.

Unaweza ukam-kiss tu (wet kiss) huku ukimtomasa maungoni na shughuli yake ikaishia hapo

Kama humvutii unaweza ukampakia mkongo na ukaishia kumuumiza tu badala ya kumfurahisha.
 
Hapa nipo kwenye majonzi mazito baada ya kumpoteza rafiki yangu kipenzi, huyu jamaa yangu alikuwa anapenda sana kutumia dawa za kuboost nguvu zijulikanazo kama, njoi nilimshauli sana kupunguza matumizi ya haya madawa lakini. Alikuwa hata hanielewi, ilikuwa inafikia hatua ana kunywa hadi tatu, hatimaye jana usiku amemaliza mwendo baada ya kuzidisha dozi na umauti umemkuta akiwa gheto kwake usiku wa jana NB VIJANA WENZANGU KUWENI MAKINI NA HAYA MADAWA SIO RAFIKI KWENYE MIILI YETU HAKUNA TUZO UTAYOPATA KWENYE GAME ZAIDI UTATANGULIA NA KUACHA PISI ZINADUNDA MTAANI, KWANINI MJITESE KIASI HICHO?
Amicus Curiae mzee wa Bajaj na Alteza amelike
 
Hiyo kitu inatumiwa wakati juma kesha ingia ndani ya chimbo husika, vinginevyo moto utazima.
 
Back
Top Bottom