Tlaatlaah
JF-Expert Member
- May 18, 2023
- 8,190
- 11,618
Halafu alikunywa na pombe 😳Hapa nipo kwenye majonzi mazito baada ya kumpoteza rafiki yangu kipenzi, huyu jamaa yangu alikuwa anapenda sana kutumia dawa za kuboost nguvu zijulikanazo kama, njoi nilimshauli sana kupunguza matumizi ya haya madawa lakini. Alikuwa hata hanielewi, ilikuwa inafikia hatua ana kunywa hadi tatu, hatimaye jana usiku amemaliza mwendo baada ya kuzidisha dozi na umauti umemkuta akiwa gheto kwake usiku wa jana NB VIJANA WENZANGU KUWENI MAKINI NA HAYA MADAWA SIO RAFIKI KWENYE MIILI YETU HAKUNA TUZO UTAYOPATA KWENYE GAME ZAIDI UTATANGULIA NA KUACHA PISI ZINADUNDA MTAANI, KWANINI MJITESE KIASI HICHO?