Afariki baada ya kutumia dawa za kuongeza nguvu za kiume

Vijana hawajui kuwa dhana nzima ya mapenzi inabebwa na romance na foreplay na asilimia ndogo ndio inamaliziwa na kuingiza uume......Kwa kifupi mwanamke anasikia raha sana kwenye foreplay kuliko kusuguliwa ndio maana wasagaji wakimkamata mpenzi wako ni ngumu kuwatenganisha hali ya kuwa mwanamke mwenzie hana uume lakini anamridhisha.......

Mwanaume hata kama huna nguvu za kutosha lakini ukiwa master kwenye foreplay hakuna mwanamke atakukimbia kwani asilimia tisini ya ashki za mwanamke zipo nje ya mwili wake na sio ndani ya uke.........

Vijana wajifunze foreplay na romance inatosha hiyo ya kuchomeka masaa manne ni kuumizana........

Vijana wana uelewa mdogo sana kwenye ulimwengu wa raha za faragha......na wengi wao wanaharibiwa na maneno ya vijiweni...........
 
OK.

Nina Experience kubwa na hizi dawa.

Kiukweli Mimi nilikuwa na changamoto ya kusimamisha uume miaka kama minne iliyopita.

Baada ya kufanya research yangu kwa kina humu jf nikaona watu wengi wanaiongelea viagra,sildenafil na njoi

Nikaingia google Ku search side effect ,contraindication zake na dosage.

Kiuhalisia nikaona inanifaa nikaanza kununua vidonge naweka ndani.

Demu akija nakunywa mashine inakuwa on fire napiga mashine hadi nachoka mwenyewe.

Banda ya kuona hali ya uume wangu imeimarika japo sio kiivyo Ila niliacha natumia Mara chache sana na sababu maalum.

Kinachofanya mtu anakata moto kwa hizi dawa zina tendency ya kushusha presha(Hypotension so mfano inatakiwa kidonge kimoja unakuta mtu anakunywa vitatu na hapo hapo Ana presha ya kushuka bila kujua.

Aisee huyu mtu akitoka hapo ukimpeleka hospital ICU au tunazika.
 
Hapa nipo kwenye majonzi mazito baada ya kumpoteza rafiki yangu kipenzi, huyu jamaa yangu alikuwa anapenda sana kutumia dawa za kuboost nguvu zijulikanazo kama, njoi nilimshauri sana kupunguza matumizi ya haya madawa lakini alikuwa hata hanielewi, ilikuwa inafikia hatua anakunywa hadi tatu

Hatimaye jana usiku amemaliza mwendo baada ya kuzidisha dozi na umauti umemkuta akiwa gheto kwake usiku wa jana.

NB VIJANA WENZANGU KUWENI MAKINI NA HAYA MADAWA SIO RAFIKI KWENYE MIILI YETU HAKUNA TUZO UTAYOPATA KWENYE GAME ZAIDI UTATANGULIA NA KUACHA PISI ZINADUNDA MTAANI, KWANINI MJITESE KIASI HICHO?


Kama huna nguvu si utulie jamani

Dah lala salama
 
Miaka ya nyuma niliwahi kutumia ivo vidonge na vilinisaidia sana maana kuna kipindi mpaka nilihisi nimerogwa!! baby mama analalamika kabisa nawahi kufunga magori, nikaona hii hapana inaweza niletea kusalitiwa nikaogopa.

Huku na kule nikaona solution ilo baki nikimbilie kwenye ivo vidonge. Mwanzo ilikua poa ila baadae madhara yakaanza.

Kuna siku hadi mke alijua maana ngoma tulipiga kila style ila wazungu wakitoka ngoma hailali, akajitahidi mtoto wawatu kila kitu waapi, mara akaanza kunimbia mbona unaota misuri kichwani na usoni!!? Mara mbona umebadirka macho yamekua mekundu!!? Af nikaanza kusikia mapigo ya moyo yanadunda sana wife akawa kama anataka kulia nikaona hiki ni kifo🥲

Wazee sikulala nilienda chooni labda maji barid yangesaidia ila waap, wife ye akalala zake, nikaona nianze kusoma kitabu kitakatifu mara nikaanza kuona kama ukungu ivi walah na utu uzima wote machozi yalianza kunitoka nikajua hapa kesho sitoboi, nikiwaza kuondoka lazima mke atataka maelezo naenda wapi usiku wote na nikienda nae hospital atajua inshot nikesha kwa mateso ila kulipikucha niliwahi hospital wakanisaidia na tokea siku iyo sijawahi kurudia tena.

Nilivopona niliwaza na kujiuliza mbona mke wangu niwakawaida tuu hata tako hana kajaliwa tuu akili za maisha na mbona anajiamini! sasa yanini mimi nikosa kujiamin vile nilivo!?

Ndugu usije kukubali kutumia ayo madawa sio kabisa we fanya unavyoweza mke/mchumba akiona humfikishi anapotaka wacha aende kwa wengine tuu wakamyooshe anavyotaka nawe tafuta size yako hii dunia tunaishi maramoja usikubali kujitesa.
 
Vijana
Vijana hawajui kuwa dhana nzima ya mapenzi inabebwa na romance na foreplay na asilimia ndogo ndio inamaliziwa na kuingiza uume......Kwa kifupi mwanamke anasikia raha sana kwenye foreplay kuliko kusuguliwa ndio maana wasagaji wakimkamata mpenzi wako ni ngumu kuwatenganisha hali ya kuwa mwanamke mwenzie hana uume lakini anamridhisha.......

Mwanaume hata kama huna nguvu za kutosha lakini ukiwa master kwenye foreplay hakuna mwanamke atakukimbia kwani asilimia tisini ya ashki za mwanamke zipo nje ya mwili wake na sio ndani ya uke.........

Vijana wajifunze foreplay na romance inatosha hiyo ya kuchomeka masaa manne ni kuumizana........

Vijana wana uelewa mdogo sana kwenye ulimwengu wa raha za faragha......na wengi wao wanaharibiwa na maneno ya vijiweni...........
Vijana wasome hapa,
Umewapa somo zuri tu.
 
Ujinga sana kutumia dawa kwa ajili ya ngono.
Ngono ni uraibu kama uraibu wowote ule, sema unahalalishwa na ndoa. Biblia inashauri kuwa na 'kiasi' kwa wanandoa.

1 Wakorintho 7

1 Basi kwa habari ya mambo yale mliyoandika, ni heri mwanamume asimguse mwanamke.

2 Lakini kwa sababu ya zinaa kila mwanamume na awe na mke wake mwenyewe, na kila mwanamke na awe na mume wake mwenyewe.

3 Mume na ampe mkewe haki yake, na vivyo hivyo mke na ampe mumewe haki yake.

4 Mke hana amri juu ya mwili wake, bali mumewe; vivyo hivyo mume hana amri juu ya mwili wake, bali mkewe.

5 Msinyimane isipokuwa mmepatana kwa muda, ili mpate faragha kwa kusali; mkajiane tena, Shetani asije akawajaribu kwa kutokuwa na kiasi kwenu.
 
Back
Top Bottom