Elihuruma Lwinga
Member
- Jun 3, 2014
- 63
- 68
Ni mwenyekiti wa kamati ya ujenzi Marehemu Elizabeth Samanyeta almaarufu kwa jina la Mama almas amefariki dunia jana Jioni, Mama almas alikua mwenyekiti wa kamati ya Ujenzi katika kanisa la Moravian Tanzania ushirika wa Morogoro mjini, pia alowahi kua Mlezi wa idara ya vijana Morogoro mjini, kifo hicho kimetokea jana, kabla ya kufikwa na mauti hayo, mida ya saa 6 mchana alipeleka vifaa vya ujenzi kanisani hapo, na baadaye kidogo kujisikia vibaya, baada ya kumkimbiza hospital saa 10 jioni akaaga dunia.
Pia kabla ya hapo inasemekana Mwenyekiti wa eneo la misheni Morogoro Mchungaji Mwakalile alimuomba kuwepo siku ya tar 10 April siku ambayo kutakua na imarisha area mishen, Marehem alimjibu Mchungaji kua sitakuwepo, Mungu amhifadhi mahala panapostahili, Amen.