Afariki akiwa anakata matawi ya miti kwenye umeme

KISS 100

JF-Expert Member
Apr 27, 2021
525
1,100
Salam,Mzee mmoja Leo mchana alikua anapunguza matawi ya miti Huku Arusha.
Mvua zinaendelea kunyesha huku na hivyo majani na magamba ya miti yana maji.
Wakati anakata matawi alipigwa shoti na kufariki.Tuchukue tahadhari Kipindi hiki Cha mvua. Usiguse miti ambapo nyaya za umeme zimekatiza
 
Me napigwa short daily na iphone ikiwa chaji.kuna mtu ana tatizo kama hilo?

Watakuja kunizodoa kwamba najidai na iphone yangu.nimenunua kwa mtu Wakuu alikuwa na shida
 
Salam,Mzee mmoja Leo mchana alikua anapunguza matawi ya miti Huku Arusha.
Mvua zinaendelea kunyesha huku na hivyo majani na magamba ya miti yana maji.
Wakati anakata matawi alipigwa shoti na kufariki.Tuchukue tahadhari Kipindi hiki Cha mvua. Usiguse miti ambapo nyaya za umeme zimekatiza

1. Ni wajibu wa TANESCO kukata miti karibu na nyaya.

2. Walikuwa wapi hadi wazee wasiokuwa na a wala b za umeme kwenda kufanya kazi yao bila tahadhali?

3. Ingekuwa ni kampuni binafasi makelele ya serikali kusingetosha.
 
Back
Top Bottom