Mugabe one
JF-Expert Member
- Nov 15, 2016
- 2,327
- 1,684
KIJANA wangu ana div 2 ya point 11 katika A level kwa masomo ya CBG, alikosa udahili/ admission ktk vyuo alivyoomba na kuandikwa neno BELOW CUT OF POINT, WENGINE BELOW OUT OF POINT.
Je hicho ni kitu gani?
Je afanye nn ili aweze ku- reapply bila kikwazo hicho?
Je hicho ni kitu gani?
Je afanye nn ili aweze ku- reapply bila kikwazo hicho?