leipzig
JF-Expert Member
- Jan 9, 2013
- 2,766
- 1,716
Haya sasa....
Huyo anayecheza Pool ni mwehu kabisa yaani huwezi kuamini kama ni askari. Anaishi mitaa ya kwetu akifika bar ni fujo kama kazi,mirusi,matusi na makele yaani hapakaliki!
Haya sasa....
Umejuaje kama ni muda wa kazi mkuu!