Afande Sele: Nitapambana na Abood

Afande sele hana tofauti na kichaa na hakuna mwenye akili timamu anaweza kumpigia kura huyu kichaa.
 
Afande songa mbele, achana na haya madudu kama Ritz yamekata tamaa ya maisha, yanango vibuku vya lumumba.
 
Afande songa mbele, achana na haya madudu kama Ritz yamekata tamaa ya maisha, yanango vibuku vya lumumba.

jamani siyo kila mwana cdm anafaa kuwa mbunge.haya kashasema rasta zake hazinyoi.rasta chafu ataingianazo vilevile?
 
jamani siyo kila mwana cdm anafaa kuwa mbunge.haya kashasema rasta zake hazinyoi.rasta chafu ataingianazo vilevile?

Zile picha zake kavua nguo kabaki na gagulo tu zimemuondolea qualification ya hata kuwa mwenyekiti wa kijiji!

Afande Sele hafai na hana maadili!
 
kila la kheri dume la simba,wana moro wanahitaji kisemeo bungeni sio huyo ponjoro asiyejua hata njaa ni nini...
..kweli sasa ubunge sio tena wamaana. Hata machizi nao wanataka kuingia mjengoni.. Kama wananchi wa moro watamruhusu huyu chizi hata kugombea tu ubunge wachilia mbali kushinda nitawadharau kama nilivyo wadharau watu mbeya mjini na iringa mjini.
 
je Lusinde u fungu lipi?

Achana na lusinde, Kapuya je?
Wapo wengi zaidi ya hao huko ccm.
Point yangu ni kwamba, cdm kama chama mbadala kinatakiwa
kionyeshe mfano ili kithibitishe uwezo wake, sio kufanya makosa yaleyale ya ccm.
 
Mbona aliyemleta kaonYweshwa mlango wa kutokea yeye anamsuli wa kubaki ktk vita dhidi ya wahafidhina.
 
..kweli sasa ubunge sio tena wamaana. Hata machizi nao wanataka kuingia mjengoni.. Kama wananchi wa moro watamruhusu huyu chizi hata kugombea tu ubunge wachilia mbali kushinda nitawadharau kama nilivyo wadharau watu mbeya mjini na iringa mjini.

Achilia hao mbona hata wewe unadharaulika hata kwa familia yako?kwani wewe si ndie aliyekuimba lady JD?Yahaya!
 

MH. ABOOD ANACHIMBA VISIMA VIJIJINI, ANANUNUA AMBULANCE (MAGARI YA WAGONJWA) etc.., KWA AJIRI YA WANANCHI HAYO MBONA HAONGEI.??! BANG MBAYA SANA MAANA KATI YA VITU ANAVYOPANGA HUYO MGAMBO SELE NI KUOMBA KATIBA IRUHUSU WABUNGE WA KIUME KUWA NA RASTA. HUU NI WEHU WA HARI YA JUU LABDA AKAJARIBU JAMAICA. KASHIDWA KUWAONGOZA GETTO BOYS/GIRLS NA WATU PORI A.K.A WASHAMBA ITAKUWA MJI KASORO PWANI..??
 
Zile picha zake kavua nguo kabaki na gagulo tu zimemuondolea qualification ya hata kuwa mwenyekiti wa kijiji!

Afande Sele hafai na hana maadili!

Why Afande Sele mbona wabakaji wako kibao? Makamba.Kapuya,naa nani sijui huyu mama viti maalumu narse wa bagamoyo kubaka kijana wa 26 miaka kwani hayo ndo maadili?Nyambaf1
 

Morogoro watakuwa watu wa ajabu sana.wanasubiri wapigike then wafe halafu abood asafirishe maiti,hiyo ni aibu ilioje?any way morogoro kwa kupenda wahamiaji aah! namba moja.
 
kazi ipo hivi bungeni sasa imekuwa jalala.Tusipoangalia siku moja tanzania tutaongozwa na mwendawazimu
 
Mwenzako ana masters tena ya kwa malkia wewe endelea kushangaaa

MBONA HAPA HAIPO???UFAFANUZI PLEASE

GENERAL
Salutation Honourable Member picture

First Name: Juma
Middle Name: Selemani
Last Name: Nkamia
Member Type: Constituency Member
Constituent: Kondoa kusini
Political Party: CCM
Office Location: Box 2, Kondoa - Dodoma
Office Phone: +255 756 479494
Ext.:
Office Fax:
Office E-mail: jnkamia@parliament.go.tz
Member Status: Current Member
Date of Birth 1 January 1972

School of Journalism and Mass Communication, Tanzania Diploma (Mass Communication) 1997 1999 DIPLOMA
National Radio (RTD) Basic Broadcasting Skills 1995 1996 CERTIFICATE
- International Braodcasting Skills 1999 1999 CERTIFICATE
British Broadcasting Corporation BBC, London Journalism Skills 2004 2004 CERTIFICATE
Voice of America, Washington Computer 2010 2010 CERTIFICATE
France Certificate in International Sports Reporting 2009 2009 CERTIFICATE
Same Secondary School A-Level Education 1989 1990 HIGH SCHOOL
Sengerema High School A-Level Education 1991 1991 HIGH SCHOOL
Mzumbe High School A-Level Education 1991 1992 HIGH SCHOOL
Mpwapwa Secondary School O-Level Education 1985 1988 SECONDARY
Bicha Primary School, Kondoa Primary Education 1978 1980 PRIMARY
Iyoli Primary School, Kondoa Primary Education 1980 1984 PRIMARY
EMPLOYMENT HISTORY
Company Name Position From To
The Parliament of Tanzania Member - Kondoa South Constituency 2010 2015
Voice of America, Washington DC Journalist 2009 2010
Tanzania Broadcasting Corporation - (TBC) Journalist/Editor 2006 2009
British Broadcasting Corporation BBC, World Service Journalist 2003 2006
Tanzania National Radio (RTD) Journalist 1995 2003
POLITICAL EXPERIENCE
Ministry/Political Party/Location Position From To
Chama Cha Mapinduzi, CCM Member - National Executive Committee 2007 2012
 
unaijua elimu ya nasari wewe?au unaropoka tu.

JOSHUA NASSARI
Anasema elimu yake ya msingi aliipata shule ya msingi Mulala iliyopo huko Meru kuanzia mwaka 1993 kuhitimu mwaka 1999, ambapo mwaka 2000 alijiunga na masomo ya Sekondari Bagamoyo na kuhitimu mwaka 2003.

Nassari anasema mwaka 2004 alijiunga na masomo ya Sekondari ya kidato cha tano shule ya Sekondari Tabora na kumaliza masomo hayo mwaka 2006 na baada ya hapo alijiunga Chuo Kikuu cha Dar es Salaam na Augusti mwaka 2009 alihitimu masomo yake na kutunukiwa Shahada ya Sayansi ya Jamii, katika Masuala ya utengenezaji Sera na Utawala.
Aidha anasema baada ya hapo aliendelea kujiendeleza ambapo mwaka 2011 alipata kozi katika Chuo cha Mafunzo cha Ushirikiano wa Maendeleo (MS-TCDC) ambako alisomea haki za watoto na utetezi

Uzoefu katika kazi Joshua Nassari anasema mwaka 2009 hadi 2012 alishafanya kazi kwenye shirika la Kimarekani la Foundation For Tommorow, lenye tawi lake Mkoani Arusha na alikuwa Mkurugenzi wa Mipango.
“Mimi ninauzoefu wa kuwa Meneja katika ofisi ya Shirika la Amend. Org la Jijini Dar es Salaam nchni Tanzania ambako nilifanya kuanzia Januari hadi Desemba mwaka 2009 na Machi 2008 nilifanya utafiti kuhusu mtazamo wa Afya ya watoto, ambapo niangalia zaidi suala la watoto yatima na watoto wa mitaani,” anasema Nassari.
Nassari anasema kuwa uzoefu mwingine alionao mbali na huo, alishawahi kufanya utafiti wa Kimataifa Chuo Kikuu cha Dartmounth kilichopo nchini Marekani na pia alifanya utafiti kwa waganga wa jadi, wafanyakazi waponyaji wa Afya wanaojishughulisha na utunzaji wa Afya za watoto Vijijini, hayo aliyafanya mwaka 2008 katika mwezi wa nane na tisa.
Mgombea huyu hakuishia hapo tu, kwa miezi mitatu mwaka 2008 alifanya utafiti katika shirika la Surpport for International Change lililopo Jijini Arusha na alishawahi kuwa mwalimu mshiriki katika mwezi Machi, Mei 2006 na Juni na Julai 2007 alifanya kazi shirika la Global Service Corps,lakini wakati huo alikuwa akiendelea kusoma Chuo Kikuu cha Da es Salaam.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…