PendoLyimo
JF-Expert Member
- Sep 30, 2014
- 879
- 956
“Katika hali ya kawaida unaweza kuona hii ni nyumba ambayo familia inaishi humu ndani…humu ndani inaweza kuishi familia mpaka ya watu kumi”
Kila kitu kinafanyika humu ndani, watu wanapika humu ndani, wanaishi wao na baadhi ya wanyama, unaweza kuona mbwa wanaingia na kutoka humu ndani lakini pia shughuli nyingi zinafanyika humu ndani kitu ambacho kikawaida kabisa tunapozungumza kwenye karne hii tuliyoifikia si sahihi kabisa kuacha watu waendelee kuishi kwenye maisha haya unayoyaona.
“Huwezi kuniambia kwamba binaadamu kwenye karne hii anaishi hapa,au hata wewe huko ulipo na familia yako kweli watoto wako wanalala katika mazingira kama haya, wanaamka katika mazingira kama haya nadhani sio sahihi kabisa” Selemani Msindi-Afande Sele.