Hili popoma linatumika VIBAYA
1990 - CCM inatetewa na Horace Kolimba, Moses Nnauye, John Chiligati, Masatu Wasira.
Jokate anawamudu hao kupitia Vunja Bei 🐼1990 - CCM inatetewa na Horace Kolimba, Moses Nnauye, John Chiligati, Masatu Wasira.
2024- CCM inatetewa na Mwijaku, Stive Nyerere, Afande Sele, Masanja Mkandamizaji.
... kuna wakati alipopoa mzinga wa nyuki, ... sasa ALIPONG'ATWA KISAWASAWA AKAIBUKA!huyu jamaa ni Afande wa wapi na nasikia alikua msanii anawimbo gani unao trend sasa ?
sasa huyu ni mtu?