Afande Sele awa-beep Sugu na Vinega!

Alisaini deal wakati amelipuliza baada ya kwisha sasa anaona ajitete..Huyu kuna clips ametukana sana tu!
Afande Sele huwa hatukani, mimi nimewahi kumsikia akisema mazafakayooo!!! kwani kusema "mazafaka" ni tusi??
 

 
Na wewe unahitajika uwe muelewa zaidi! hiki ni nini?

Huyu ndiyo mtu mwenye Familia na asiyependa kutukana hadharani, lakini kuvua nguo na kushika sehemu nyeti hadharani kwake siyo tatizo!!!!!!! SHAME ON YOU !!!!!!
 
Salam zangu za kwanza ziwafikie woote bila kumsahau mtoa mada popote pale alipo ! Salamu zisindikizwe na wimbo mkuki moyoni wa afande thele!
 
Hongera Afande, matusi sio mpango. Uanaharakati sio lazma utukane. Hao vinega ni mambumbu .
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…