Afande Sele amvisha pete ya uchumba Imani

Afande Sele amvisha pete ya uchumba Imani

Kwavile wewe ulipigiwa goti kuvalishwa Pete na mumeo ndio unafikiri wanaume wote ni wajinga?
Unamwaga povu kisa Afande kufanya kile apendacho?
Yani mke wa Afande Sele ameona sawa tu ila wewe ndio unatema povu!

Watu wanakuelekeza ila umekaza tu fuvu! Jinga kabisa wewe.

tanzagiza hakuna utamaduni na mila ya kupigiana goti kuvishana pete, sasa uniambie hiyo mila ilitokea wapi? babu na bibi yako walivishana pete ya uchumba kwenye halaiki hivyo “kuomba” kuoana kama hata walijua maana ya pete ya uchumba ? …
 
Kwa SISI waafrika ni kinyume chake

kwa nini iwe kinyume chake? na kwa nini muige jambo ambalo hata hamulielewi maana yake? kama unaiga aidha unafanya ipasavyo au uache na ufwate mila na tamaduni zenu, vinginevyo mnaonekana vituko na kuzidi kudharauliwa duniani kote kwa maana hamuelewi kwa nini kwenye culture za Wazungu Mwanaume hujishusha kwa kupiga goti kumuomba mchumba wake ampendaye akubali kuolewa naye, hivyo bakieni tu kiafrika kupigana mtama kubakana, au ndoa za mkeka kwisha siyo lazima muige mambo ambayo hamuyaelewi, mnaonekana kituko mbele ya dunia.

kumbuka kujishusha kwa umpendaye na anayestahili siyo udhaifu bali ni Uanaume uliokomaa ...
 
The Icebreaker , huyu mdau tunamweka kundi gani, umemwelewesha lakini wap.

All in all, hii ndio Dunia ya FREE MIND
 
the guy is stupid na low iq, badala ya kumpigia magoti mke wake eti yeye ndiye anapigiwa magoti, such a selfish fool …
Akili zako zitakua haziko sawa sawa kabisa yani mwanaume ampigie magoti mwanamke 😳
 
hata wewe hauelewi kama huyo idiot mwenzako kwa nini Christians hupiga goti wanamuuliza binti kuolewa naye, kama hamuelewi maana yake si muonane tu kimila kama mababu walivyofanya enzi na enzi kwa kuviziana vichochoroni kupigana mitama, ila mila za watu kama hamzielewi ziacheni …
Wewe Mgogo tu hauwezi ukawa Mwingereza kwenye familia ya kifalme hata ufanyaje. Hizo tamaduni za Mwanaume kupiga magoti kwa mwanamke ni huko Uingereza mmecopy tamaduni msizozijua upuuzi tu
 
kwa nini Christians hupiga goti wanamuuliza binti kuolewa naye
Hapo kwenye Christians, ni borq uendelee na UJAKAZI wako, usivuruge mambo.

Simba zee hawezi piga goti, mwanaume kupiga goti ni tamaduni ambayo kwa wabantu haipo na haiwezi kuwa! Kwanza sidhani hata kama utamaduni wa pete upo kwa wabantu.

Hatupigi goti, na tutaendele kuwa vichwa.....acha upinde wawe na usawa, sio sisi!
 
he is stupid, na wala haelewi maana na dhana nzima ya mwanaume kupiga goti, unapopiga goti unamuuliza mwanamke kama atakubali kuolewa na wewe hiyo ndiyo maana yake vinginevyo msiige mambo na mila za watu na kuziharibu yeye angeoa tu kimila chao labda ampige gwala mwanamke kumbaka na kisha kwenda kuripoti kwa baba yake kutoa mahali na kuweka ndani hiyo ndiyo mila ya kiafrika …
Wanaume wa Dar mnamatatizo sana nyie, yaani wao wameamua wapigiane magoti walichokifanya, wewe una hasira na matusi juu...shida nini, kuna mmoja wapo hapo alikua wako nini??
 
he is stupid, na wala haelewi maana na dhana nzima ya mwanaume kupiga goti, unapopiga goti unamuuliza mwanamke kama atakubali kuolewa na wewe hiyo ndiyo maana yake vinginevyo msiige mambo na mila za watu na kuziharibu yeye angeoa tu kimila chao labda ampige gwala mwanamke kumbaka na kisha kwenda kuripoti kwa baba yake kutoa mahali na kuweka ndani hiyo ndiyo mila ya kiafrika …
Nyie ndiyo mnaupigia promo ushoga. Uliona wapi jamii za kiafrika zina utamaduni wa mwanaume kupiga goti?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom