Afande Sele amvisha pete ya uchumba Imani

tonicimmobility

JF-Expert Member
Joined
Jun 17, 2025
Posts
493
Reaction score
1,038
Mfalme wa Rhymes Afande Sele amemchumbia mpenzi wake Imani Makongoro baada ya kupita muda mrefu tangu kufariki kwa mzazi mwenzie Mama Tunda.

Screenshot 2025-08-06 002359.png

Soma pia: Afande Sele: Utaratibu wa kutoka Kituo cha SGR - Morogoro haufai, unachelewesha Watu na unachosha abiria
Rafiki yake na msanii mwenzake Imani ameshea post hii ya Afande Sele kuchumbiana na Imani Makongoro na kuandika

"Hongera sana mwanangu Afande Sele pamoja na mwenzio Imani Makongoro kwa kuchumbiana (Engagement) Mungu awasimamie Jambo hili liwe na baraka tele".

"NB:Baada ya kukaa Mgane miaka mingi toka Mama Tunda ATUTOKE (RIP) hatimaye Mfalme kapata Malkia wa maisha yake".

Chanzo: EastAfrica TV
 
Mfalme wa Rhymes Afande Sele amemchumbia mpenzi wake Imani Makongoro baada ya kupita muda mrefu tangu kufariki kwa mzazi mwenzie Mama Tunda.

View attachment 3433400
Soma pia: Afande Sele: Utaratibu wa kutoka Kituo cha SGR - Morogoro haufai, unachelewesha Watu na unachosha abiria
Rafiki yake na msanii mwenzake Imani ameshea post hii ya Afande Sele kuchumbiana na Imani Makongoro na kuandika

"Hongera sana mwanangu Afande Sele pamoja na mwenzio Imani Makongoro kwa kuchumbiana (Engagement) Mungu awasimamie Jambo hili liwe na baraka tele".

"NB:Baada ya kukaa Mgane miaka mingi toka Mama Tunda ATUTOKE (RIP) hatimaye Mfalme kapata Malkia wa maisha yake".

Chanzo: EastAfrica TV
"Babaake tunda jema, naicheza karata dume"
"Asiyeshiba kwenye sinia, atashiba kwenye kijiko"
"Mfalme wa rhymes, ambae soggy doggy hamtaki, anamuita kobe mana hawezi msinda mbio farasi"
 
Tangu lina Jitu pori Simba zee akapiga goti wewe, yeye ndo mfalme wa nyika.

he is stupid, na wala haelewi maana na dhana nzima ya mwanaume kupiga goti, unapopiga goti unamuuliza mwanamke kama atakubali kuolewa na wewe hiyo ndiyo maana yake vinginevyo msiige mambo na mila za watu na kuziharibu yeye angeoa tu kimila chao labda ampige gwala mwanamke kumbaka na kisha kwenda kuripoti kwa baba yake kutoa mahali na kuweka ndani hiyo ndiyo mila ya kiafrika …
 
😀😀😀😀😀 ampige ngwala tena daaah
 
Olewa wewe basi upigiwe magoti

hata wewe hauelewi kama huyo idiot mwenzako kwa nini Christians hupiga goti wanapomuomba binti akubali kuolewa naye, kama hamuelewi maana yake si muonane tu kimila kama mababu walivyofanya enzi na enzi kwa kuviziana vichochoroni kupigana mitama, ila mila za watu kama hamzielewi ziacheni …
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom