Mgibeon
JF-Expert Member
- Aug 7, 2011
- 11,181
- 20,963
Mkuu ni kweli vichaa.. watoto na walevi wanasema ukweli.... kwahiyo msema kweli ni Mpenzi wa Mungu na pepo hii hapa keshaipata.Siku hizi vichaa wanasema ukweli. Na msema kweli ni mpenzi wa Mungu.