Afande Sele amtukana matusi mazito Sugu

Sugu haongeagi kuhusu sele,sele anaona wivu sugu ana hela,sele anatabia za kike,anasema eti sugu ana sura mbaya,mfupi,amepata mtoto uzeeni,sasa si tabia za kike hizi za kina mwajuma kule vingunguti
Hivi sugu na sele nani ana sura mmbaya eti,,, nahisi Mimi ndo nko tofauti kimtazamo
 
Umetawaliwa na Roho mbaya kama Boss (u know him) kwa upofu wako unaamini hayo aliyosema Seleman Msindi ni ya kweli kwa kiasi gani %ge wise? Acha mahaba kwa mwanaume mwenzio that much mkuu!
Umeniwakilisha vema sana mkuu,,,
 
Mimi siamini kama ni afande sele kaongea hayo,japo namfahamu sele kwa uchache ila roho mbaya anayo. Hata akina Duke Wa tachez ambao wamekuwa nae kwenye industry ya bongo music kwa kipindi flani naamini wanamfahamu fahamu
 
Sawa afande
 

Attachments

  • IMG_20180907_070240.JPG
    IMG_20180907_070240.JPG
    20.9 KB · Views: 24
Hivi Tunda si atakua kashabalehe nimtafute katakuwa katam kweli kale...kana DNA za Ganja
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom