Duke Tachez
JF-Expert Member
- Mar 28, 2018
- 5,461
- 4,170
- Thread starter
- #201
Tena wivu wa kikeNyumba anayoishi Afande Sele Hata mlinzi wa geti la Sugu Hawezi kaa niliona nikalinganisha hadhi yake nilicheka sana Huu Utakuwa Wivu Tu!
Tena wivu wa kikeNyumba anayoishi Afande Sele Hata mlinzi wa geti la Sugu Hawezi kaa niliona nikalinganisha hadhi yake nilicheka sana Huu Utakuwa Wivu Tu!
Kaachwa una uhakika? Mapenzi yake na faidha wewe ulikuwepo?Mbona kweli ni mweusi, Kweli kaachwa, Kweli kapata mtoto uzeeni, kweli ni mfupi. Kipimo cha ubaya ndo sijajua amepima na nini.
Mwanaume unamtolea kashfa za kike mwanaume meenzako,si ushoga huoMbona kweli ni mweusi, Kweli kaachwa, Kweli kapata mtoto uzeeni, kweli ni mfupi. Kipimo cha ubaya ndo sijajua amepima na nini.