Afande Sele amdiss vikali Wakazi

Zama za afande zishapita aache kufosi mambo na kuwa na hasira na mafanikio ya wenzake.
Ajikite zaidi kwenye kilimo na ujasiriamali wengi wa wa tz washaacha kufuatilia mambo yake.
Kila zama na mfalme wake ufalme wake ushapita inabidi akubari ukweli mchungu haijaliahi atoe ngoma yenye ujumbe kiasi gani haiwezi ku trend kama zamani.
 
Afande amechagua njia mpya ya kuwa hewani baada ya kusinzia kimuziki.
 
Wakazi sio msanii bali ni mtu wa mitandao,,hana ngoma hit hata moja,huyo si msanii bali ni karaha fulani hivi kwenye muziki,hawa ndio tunawaita viwavi
 
Usimfananishe Afande na Wakazi! Hata kwa Kiswahili Wakazi yupo smart
Na wewe acha ushamba na mahaba ya kijinga,kwani kujua kiingereza ndio kuwa msanii?huwezi kumfananisha wakazi ambae hana hata wimbo mmoja wa kujulikana na afande sele,labda kama umeanza kusikiliza muziki leo,,
 
one among the realest MCEE bongo...mara nyingi watu kama hawa hua hawafahamiki sana as wanaimba conscious....mchek humo....










Mkuu wakazi sio msanii na wala he can't be a realest MCEE, hafahamiki na hata underground hayupo,hana nyimbo
 
Wakazi ni msanii wa bongo fleva alafu ni.mtoto wa mzee Wasira wa kumzaa kabisa
 
Nimesikiliza nyimbo nyingi sana za Wakazi ila naonaga kama hayuko serious na muziki, nyimbo zake nyingi zinafaa kusikilizwa gheto tu masela maana zimekaa kifreestyle zaidi
 
Back
Top Bottom