Afande Sele ajiandaa kunyakua jimbo la Morogoro Mjini

Akichukuwa Morogoro nitashangaa saana.Kuna vyuo vya juu kadha wa kadha na wasomi walio bobea....bunge litakuwa la vichekesho,kwaya,vigelegele.Angalieni miswada ya sheria inavyoletwa bungeni ni wabunge gani wanao ongea???na ni kina nani wanasema NDIYOOOO.Jamani this time tupeleke watu watakao tupeleka next level.
 
Kweli tu wanafiki balaa huyu huyu aliposema akiwa chadema alikuwa mtu sahihi,leo kwa kuwa chama kingine tumeziona kasoro kibao.
Kama kweli tunayo nia ya kulipeleka pazuri taifa hili suala la chama kuwa kigezo tuliondoe,tuangalie uwezo binafsi tu na si unazi wa chama.
 
Ndo nawe jiulize alipokuwa CHADEMA alikuwa mbaya Kaenda ACT kawa mzuri
 
naliona jimbo la Morogoro mjini halina mshindi hadi sasa, mgombea binafsi upitishwe ili niiwakilishe vyema Morogoro. Tumechoka kubuluzwa na siasa za vyama, afande hafai, abood kachokwa, mwaipaja yupo kimya sana despite kuwa yupo chadema, mlapakolo na cuf yake ashazeeka.
 
Back
Top Bottom