Standalone
JF-Expert Member
- Nov 15, 2014
- 676
- 576
Mkongwe wa muziki wa hip hop Afande Sele, Na mtia nia wa ubunge Jimbo la Morogoro mjini(CHADEMA) amejiandaa vizuri kunyakua kiti Ubunge Morogoro mjini ambapo amekuwa akifanya harakari za hali ya juu kuhakikisha anamuondoa mbunge aliyeko wa CCM...
Akizungumza hivyi karibuni Afande sele amesema imefika wakati sasa jimbo hilo kumpata kiongozi atakaye wasemea wana moragoro matatizo yao na sio mfadhili..nanukuu Tunataka mbunge msemaji na mteteaji haki sio mfadhili(Mfanyabiashara)
Pia amekiri kuwa tayari kwa upande wake siasa imekwishaanza kumpunguzia kasi katika kufanya muziki, huku akiwaomba radhi mashabiki wake kumvumilia kidogo kabla ya kumsikia tena akitoka na rekodi mpya.
Picha chini Afande Sele akiwa katika harakati za ukombozi..
========Updates======
Wakuu, Hatimaye Afande sele Amejiunga na ACT.
Ikumbukwe pia Kabla ya kuja CDM alitokea CUF..
Ninamtakia safari njema Huko aendako...Safari ya mabadiliko ni ndefu sana..