Afande Samweli yuko wapi? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Afande Samweli yuko wapi?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Jibaba Bonge, Aug 18, 2010.

 1. J

  Jibaba Bonge JF-Expert Member

  #1
  Aug 18, 2010
  Joined: May 6, 2008
  Messages: 1,224
  Likes Received: 135
  Trophy Points: 160
  Hivi huyu member yuko wapi? Mbona kimya sana au ilikuwa nguvu ya siasa za Kyela tu? Au kabadili ID? Afande come back ndiyo mambo yanaanza sasa na michango yako bado inahitajika hapa, utuletee updates za Kyela.
   
 2. Safari_ni_Safari

  Safari_ni_Safari JF-Expert Member

  #2
  Aug 18, 2010
  Joined: Oct 5, 2007
  Messages: 22,470
  Likes Received: 5,852
  Trophy Points: 280
  Aulizwe George Mwakalinga....kama sio alias yake mwenyewe
   
 3. Monsignor

  Monsignor JF-Expert Member

  #3
  Aug 18, 2010
  Joined: Jan 29, 2009
  Messages: 523
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Haha haha Bado anakusanya Laptops walizowagawia wana Kyela baadaye wakatoswa
   
 4. Quinine

  Quinine JF-Expert Member

  #4
  Aug 18, 2010
  Joined: Jul 26, 2010
  Messages: 10,924
  Likes Received: 12,127
  Trophy Points: 280
  Afande Samweli lilikuwa jina la kampeni tu kama kigwanagala jina lake halisi ni.................................ngoja kwanza nikusanye waandishi wa habari.
   
 5. Quinine

  Quinine JF-Expert Member

  #5
  Aug 18, 2010
  Joined: Jul 26, 2010
  Messages: 10,924
  Likes Received: 12,127
  Trophy Points: 280
  Nasikia anatafuta nauli ya kumtoa huko.
   
 6. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #6
  Aug 18, 2010
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 309
  Trophy Points: 180
  Kigwangwalla ni Kigwangwalla wa kweli kabisa, na bahati njema ameshinda!...huh!@
   
 7. Malafyale

  Malafyale JF-Expert Member

  #7
  Aug 18, 2010
  Joined: Aug 11, 2008
  Messages: 11,214
  Likes Received: 3,626
  Trophy Points: 280
  Hawezi kuja hapa;huwa anaonekana sana siku hizi nyakati za usiku pale Balingeng'onyo resort akipata moja baridi-moja moto,na nahisi kajiondoa kwenye mamabo ya siasa hasa baada ya habari hizi kuzagaa Kyela kuwa vyama vya upinzani vinafikiria visisimamishe wagombea wao ktk majimbo ya Kyela na Rungwe ya Mwandosya!

  Amekisusa hata kijiwe chetu cha Bondeni kwa Keny Mwanyerere,pia hata kule Bikutuka sijamuona siku nyingi pia
   
Loading...