Mnondwe
JF-Expert Member
- Apr 10, 2015
- 4,012
- 3,683
Hata asipoona yeye humu,wataona wengine pia na taarifa zitafika kunakohusika.Sio kama kuna solution utaipata hapa au unataka tujadili kimbea, we kama raia mwema ulitakiwa kuchukua uamuzi wa kutoka na kumsaidia au kusikilliza chanzo cha tatizo na sio kuja kulalamika kwenye jukwaa ambalo hata huyo afande hujui kama anapita kusoma hapa tujue kuchukua maamuzi yanayowaathiri raia wenzetu najua ungetoka na kupata maelezo pande mbili ungepata kitu unaweza kuta hata ni wivu wa kimapenzi baina yao wahusika. Nilishawahi ona clip toka kenya raia wakimsaidia kilema aliyekuwa akiburuzwa na police wa jiji maarufu kama Kanjoo na ilionesha jinsi gani nguvu ya umma inafanya maamuzi sahihi sasa wewe na wengine mliokuwa kwenye foleni mlikuwa wabinafsi hamkichukua hatua na huyo afande hataacha kuwapiga makofi watu wengine sababu ya kupuuza itaendelea ivo hata kama sio kesho itakuwa mwakani.
NAUNGANA NA WANAOLAANI KITENDO HICHO KAMA NI CHA KWELI.
NALAANI TENA NA TENA NA TENA.
Polisi wa kizamani bado wapo kazini,SAID MWEMA alisaidia sana kulifanya jeshi la polisi kuwa la kistaarabu,IGP wa sasa aendeleze juhudi hizo na zaidi ziambane na ELIMU.