Ni wazo zuri sana kutumia simu kurecord matukio ya kihalifu yanayofanywa na wanausalama.Kuna tukio la rushwa kwa askari usalama barabarani,nalo lilirekodiwa na kupostiwa kwenye mitandao,na yule askari aliadhibiwa.Pia askari wengine wa usalama barabarani waliokuwa wakifanya mapenzi wakiwa na nguo za kazi1. Kama ungekuwa mwanaharakati wa haki za binadamu, ungeshuka na kwenda kumuuliza sababu ya kumpiga makofi pasipo hukumu ya mahakama.
2. Jengeni tabia ya kutumia simu zenu kurekodi matukio muhimu kama hayo na kisha kuja kuyaleta sehemu kama hizi ili muweze kupata msahada wa kisheria.
3. Next time chagua kufanya moja kati ya hayo mawili au yote kwa pamoja.
Unauliza makofi polisi? Police force-hiyo force unajua maana yake?Hivi kwa ujumla bila kujali kama dereva ni wa jinsia ya kike au kiume ni sahihi kwa askari wa usalama barabarani kumpiga makofi dereva, kumtolea upepo kwenye tairi na pia kumnyang'anya funguo?
Unaleta story za kusogeza folenihuyu awadhi daladala zote zinamjua kuna konda na dereva sikumoja walikuwa wanamjadili wakasema walienda kumroga bagamoyo wakakuta huyo mganga ndo pia ni mganga wa awadhi walienda kumuua ila akawaambia wasimuuwe atamwita amuonye mbele yao ... kwahiyo wakawa wanajisifia kuwa awadhi hawafanyi lolote
NdioUnaleta story za kusogeza foleni
Kwa hiyo polisi kufanya hivyo ni sahihi? Na kuhusu maana ya hiyo force ni nini mkuu? Nieleweshe.Unauliza makofi polisi? Police force-hiyo force unajua maana yake?
Ni sahihi kwa baadhi ya wakati, na hasa kwa nyinyi madereva vijana wenye vigari vya automatic na munaojifanya eti muna haraka sana wakati wa asubuhi.Hivi kwa ujumla bila kujali kama dereva ni wa jinsia ya kike au kiume ni sahihi kwa askari wa usalama barabarani kumpiga makofi dereva, kumtolea upepo kwenye tairi na pia kumnyang'anya funguo?