Afande asitukia kamera, awa mpole!

Afande asitukia kamera, awa mpole!

Mbona mimi hizi video huwa hazichezi kwanini? Natumia app kwenye simu.
Na huwa nafanya update kila wakati
 
Njia moja ya kupambana na rushwa na uhalifu ni kufunga camera pote hadi kwenye magari
Hii ndio dawa yao na wanaogopa kweli kweli, kuna ndugu yangu alikuwa anaweka camera mbele, wakitaka kumbana wakiiona wanakuwa wapole
 
Hapo usiombe akukute na kosa halafu ndio unarekodi, ni cheti straight to GAMBOSHI.

Nilikuaga na suzuki carry ya mizigo, nyuma nilikua nimeandika "MKE WANGU BANDIKA UGARI TU, MBOGA NAIREETA SAASAA HIVI"

Walikua wakiiona ni mwendo wa kudakisha hata kama Huna kosa..
 
Back
Top Bottom