Afadhali ya Magufuli

Afadhali ya Magufuli

Magufuli ndiye alianzisha dhuluma ya utekaji, upotezaji, uuaji wa watu wanaompinga.
By comparison, afadhali ya Uovu wa magufuli kuliko wa sasa
Screenshot_20260112-170834~2.png
 
Kikwete tu enzi zake ndiye aliyeweza kuishi vizuri na wapinzani hata kama walikuwa wanampiga vita ila alikuwa anawapuuzia!, sio hawa roho ndogo ambao hawamudu mapigo ya upinzani waliokuja baada yake!, chakushangaza saiz kikwete kaungana na samia mwenye roho ndogo tena.
 
Magufuli ndiye alianzisha dhuluma ya utekaji, upotezaji, uuaji wa watu wanaompinga.
By comparison, afadhali ya Uovu wa magufuli kuliko wa sasa

Magufuli ndiye alianzisha?! Umesahau ya Dokta Ulimboka alipo amasisha mgomo wa Madaktari?! Alivyotekwa , kuteswa na kung'olewa kucha na meno bila ganzi?! Akaenda kutupwa msitu wa Mabwepande enzi za Jakaya Kikwete!!

Au ulikuwa bado haujazaliwa dogo?!
 
Magufuli ndiye alianzisha dhuluma ya utekaji, upotezaji, uuaji wa watu wanaompinga.
By comparison, afadhali ya Uovu wa magufuli kuliko wa sasa
Magufuli sio muasisi wa utekaji. Kwa mfano, wakati Dr. Ulimboka anatekwa, Magufuli hakuwa Rais!
 
Watu wana kumbukumbu fupi sana.

Hata yule mwandishi Absalom Kibanda naye alitekwa akapigwa na wakamnyofoa vitu mwilini mwake.

Kipindi hicho Magufuli hakuwa Rais.

Dokta Sengondo Mvungi naye alivamiwa akapigwa na hatimaye akafa. Magufuli hakuwa Rais.
 
Hatakwenda na maadamu ICC hawana coercive powers, hatakwenda Watafanya nini?au tunafanyaje?

Labda kama angekuwa kiongozi wa UK, Germany, Russia, Israel, France, au nchi nyingine yoyote ya namna hiyo. Lakini kwa vile ni wa Tanzania, ataenda tu, asipoenda atapelekwa.

Majukumu ya nchi wanachama wa ICC ni kwamba mtuhumiwa akipelekewa unumbe wa kwenda mahakamani, akakaidi, inatolewa warrant ya kumkamata. Warrant ya kukamatwa ikitolewa, nchi wanachama zinatakiwa kumkamata kwa nguvu mtuhumiwa na kumpeleka mahakamani. Sasa kama mtuhumiwa mwenyewe akawa Rais wa Russia, Germany, China, France au taifa lolote lenye nguvu kijeshi, nani ataweza kwenda na kumkamata Rais mtuhumiwa? Ila kama anayetakiwa kukamatwa ni Rais wa Malawi, Burundi, Uganda, and the like, wanakuja wanakunyofoa kwa nguvu, kwa mwavuli wa kutekeleza takwa la uwanachama wa ICC. Kwa mazingira hayo, huyu wa kwetu ni aheri aende mwenyewe mahakamani kuliko kusubiri kunyofolewa kwa nguvu.
 
Vinginevyo, ajifungie Tanzania. Na hii nayo itategemea tawala zijazo ni za watu wa aina gani. Akiingia mpenda haki anaweza kumkabidhi kwa ICC ili akajibu tuhuma zinazomkabili. Mazafaka wa Ufilipino (Duterte) yalimkuta haya!
 
Magufuli sio muasisi wa utekaji. Kwa mfano, wakati Dr. Ulimboka anatekwa, Magufuli hakuwa Rais!
Naona haters wa Samia na Kikwete mnahangaika kuyakuza ya Samia na Kikwete ili kuficha au kuyadogoisha msiyoyataka ya wapendwa wenu. Hongereni sana.
 
Back
Top Bottom