Afadhali wangekuwa wachina

olele

JF-Expert Member
Joined
Dec 2, 2010
Posts
1,305
Reaction score
1,577
baada ya mwalimu wa sunday school kufundisha kuhusu adam na eva jinsi walivyodanganywa nyoka na hatimaye kula tunda walilokatazwa,na madhara ambayo wanadamu wanayapata mpaka leo kwa sababu ya kosa hilo, jeni kwa huzuni akamwambia mwalimu wake "ni anfadhali adam na eva wangekuwa wachina" mwalimu na wanafunzi wengine wakashangaa na kumuuliza kwa nini? akasema " kama wangekuwa wachina wenyewe wangemla huyo nyoka aliyekuja kuwadanganya"
 
ahahahaaah!! Kamejitahidi kuumiza kichwa!
 
It sounds exactly like the other one I saw jamvini sometimes BO b4 OSAMA not Bc
 
Aaaahhhhaaaahhhaahhhhaaaaaaaa! Oh Oh ohohhhooohhhoohhhooooooooo! Hehhhhheeeeehhhhhheeeeeee, aaaaaaaaah, ni kweli: katoto haka kaandikwe kwenye orodha ya Kilimanjaro Book of World records baada ya Osama. Sio Guiness lager book of western records!
 
:happy::happy::happy::happy::happy::happy::happy::happy::happy::israel:
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…