Afa akifanya mapenzi gesti

Afa akifanya mapenzi gesti

Cheche Mtungi

JF-Expert Member
Joined
Nov 14, 2010
Posts
2,619
Reaction score
775
MFANYABIASHARA wa sokoni Kariakoo jijini Dar ambaye pia ni mkazi wa Kigogo Flesh, Hamad Kiponda (46), amefia nyumba ya kulala wageni akiwa na mpenzi wake Latifa Saidi (25).

Kamanda wa Polisi Mkoa wa Ilala, Marietha Minangi alisema tukio hilo lilitokea juzi saa saba mchana katika nyumba hiyo iitwayo Sansiro iliyoko Kiwalani kwa Gude.

Alisema kuwa kutokana na tukio hilo, Latifa alitoa taarifa polisi kwamba mpenzi wake aliishiwa na nguvu ghafla na kuanza kutokwa povu mdomoni wakati wakifanya mapenzi.

Minangi alieleza kuwa mtoa taarifa huyo aliomba msaada kwa wahudumu wa gesti hiyo, lakini Kiponda alifariki papo hapo kabla ya kupelekwa hospitali.

Chanzo cha kifo chake bado hakijafahamika, wakati mwili wake umehifadhiwa katika Hospitali ya Taifa Muhimbili kwa uchunguzi zaidi huku Latifa akishikiliwa kwa kuhojiwa.

Source:Tanzania Daima Afa akifanya mapenzi gesti

HIYO NDIO UNGA CHUNGU MAANA VUNJA CHUNGU ILISHAPITA
 
Bora Mfungo ungeendelea kwa miezi miwili zaidi hii nguvu kazi isingepotea. Pia hizi short-time za saa saba mchana wakati watu wako kwenye swala ya adhuhuri ndo madhara yake. R.I.P. kijana
 
usikute kamwacha mkewe anapika pilau yeye kaenda kuvunja amri ya sita maskini pole wafiwa
 
Yaani alikuwa anagegeda mtoto wake, yaani 46-25=21 ni umri kwa kuzaa mapema kwa kijana!!! Alihemea!!! Tena utakuta mjane alishalia sana na Mungu na adhabu ikatolewa tena kwa aibu.
 
hahahaaaaah walikuwa wakikiunga chungu

Hamad Kiponda (46), amefia nyumba ya kulala wageni akiwa na mpenzi wake Latifa Saidi (25).
 
hahahaaaaah walikuwa wakikiunga chungu

Hamad Kiponda (46), amefia nyumba ya kulala wageni akiwa na mpenzi wake Latifa Saidi (25).


mara utasikia Shabani amekamatwa ugoni na Zainabu,mke wa Hamis..
 
ladyfurahia uko wapi kuhubiri neno la Bwana ili wazinzi wasife dhambini?
 
Last edited by a moderator:
NIMEKUJA BESTITO UNASEMAJE?


JAMANI MARAFIKI ZANGU PUNGUZENI
MIHEMKO HASA NYIE WADADA
UZINZI NI DHAMBI NA TENA NI MAUTI
MTATUPWA KWENYE ZIWA LA LMOTO


NAENDA LUNCH NIKIJA NAJA NA NENO LA Bwana
ladyfurahia uko wapi kuhubiri neno la Bwana ili wazinzi wasife dhambini?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom