Aendelee Na Safari Asiendelee!

Aendelee Na Safari Asiendelee!

"........akilivusha hapo, abiria tembeeni kifua mbele..."
 
Naona aendelee kwani kichwa kitavuka salama na kwa kuwa mzigo ni mrefu tairi za nyuma zikifikia daraja mzigo utakuwa ushapita zaidi ya nusu kwenye kingo salama. akipakua kwa kuvutia mbele atatoka. Haya ndo mawazo ya dereva asiyemsikiliza hata utingo wake. Yeye ni yeye tu.
Kama alisikia hizo mbao zoote zikivunjika asijali. Basi aendelee tu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom