Gogo zito zaidi ni BashiiteBila kufanya maarifa ya kupunguza mzigo sidhani kuna kitachowezekana
Upunguze lile gogo zito zaidi..cc BashiiteHakuna hatari kubwa bado akitumia busara. Daraja bado linaweza kuhimili uzito wa gari hapo lilipo kwani ile miamba yake (vyuma) ni thabiti. Chaga za mbao ndizo mbovu. Malori haya siyo front wheel drive. Matairi yanayovuta gari yapo nyuma na hayajaingia darajani. Cha kufanya, aweke vigogo mbele ya tairi za nyuma kabisa za trela kuzuia gari kwenda mbele iwapo itatokea hivyo. Driver alirudishe nyuma (reverse) gari. Baada ya hapo busara zingine zitumike wakati gari litakuwa limetoka darajani.
Kichwa kishapita hicho......
Dereva wa ROLI hajali kitu; mi nimevumilia ila akijaribu kupita hapa NARUKAMO.Watanzania daini katiba mpya na tume huru vinginevyo mtapata tabu Sana.
Hata kama ni kumwaga damu mwageni CCM itoke.
Inamaana hata sniper hakuna??
Wapo sema wanatetemeka mikono!Watanzania daini katiba mpya na tume huru vinginevyo mtapata tabu Sana.
Hata kama ni kumwaga damu mwageni CCM itoke.
Inamaana hata sniper hakuna??
Itakuwa sao hill.Apo wap apo