Aende kumzika baba mkwe?

Aende kumzika baba mkwe?

Na kwa nini asiende? Kwani nani anamjua huko kwenye msiba? After all watu watakuwa busy na msiba
 
Aende kuzika asiogope, na ndio vizuri atakutana na ndugu wengine wa mchumba wake, watatambulishana na kujuana vizuri
 
Back
Top Bottom