Jodoki Kalimilo
JF-Expert Member
- Feb 12, 2012
- 12,671
- 11,339
napingana na mawazo yako ya kusema 7m haitoshi kwa mtaji!!..mm nilianzisha mpesa,tigo pesa,airtel money just for the capital of 5m na sasa imezaa imekua 10 within a year!!,kibusness changu kinanizalishia kati ya laki8 mpaka 1m kwa mwez kwa capital hiyo ya 5m nloanza nayo!!jaman ujasiriamali hauhitaji mtaji mkubwa ni akili tu,hata 1m ni mtaji wa kutosha na ukiimanage vzr baada ya mwaka inakua 5m hiyo!
na starehe zitawaua, yaani ni sawa na mtu hana hata vyumba viwili lakini anawaza gorifa kwa nini mtu usife kwa depression,kisukari,presha vidonda vya tumbo na mengineyo
Ukimuona kobe yupo juu ya mti ujue kapandishwa.Naomba uzoefu kaka! Kwa laki3 mpaka unameki m7 umefanyajefanyaje! Maana kuna maisha mengine nayo yanahitaji ka laki3 hakohako duh!!
jibu maswali
1.Chuo umeanza lini mwaka na mwezi?
2.chuo umemaliza lini mwaka na mwezi?
3.Umesoma kozi gani?
Kumbuka hzo i10 zilitolewa mwaka 2010 wkt wewe upo kidato cha 6,Je hicho chuo umesoma miaka miwili? Au umeanza kazi kabla ujamaliza chuo?
ahahaaa kumbe ni swaga za mlimani city....hivi bajaji au bodaboda haziruhusiwi pale?
Kwahiyo bado ukiongeza na ile 35,000/= ulioainisha kule mwanzo inakuwa jumla 67,000/= ambayo ni appromately na 70,000/= aliyofanyia ram, all in all gharama za service huwa zina range between 50,000/= mpaka 70,000/= hata 80,000/= but kihakikisha kwamba zikifika 3000km unakwenda kufanya service maana vitu vingine huwa wana vicheck tu kama vipo poa hawavibadilishi, na ndio maana unaweza ukafanya service mwezi huu 70,000 zikiisha hizo kilometre ukija mara ya pili inashuka kwa kuwa kuna baadhi ya vitu vinakuwa checked.
mkuu upo sahihi kabisa,tatizo vijana sikuiz tunapenda sn starehe ilhali uwezo hautoshi!!hiyo 7m kama ataiinvest kwenye biashara namuhakikishia baada ya 1 or2 yrs ananunua hata rav4 sio tu vits,huku mtaji wake ukiwa unaendelea kuproduce profits!!,ok ila kwakua ni bint huenda ameolewa na anahudumiwa kila kitu hadi mafuta na services hua wanasaidiwa hao bana na mashemeji zetu,namshauri anunue vitz!!
akuu shost nitakuwa mtu wa mwisho kukujadili duniani humu... hayanihusu hata....ila ujumbe umeupata....laki tatu na gari wapi na wapi? hata ufanye calculation na calculator ya mbinguni jibu litakuwa negative tuWalioshindwa wana maneno mengiiii Kutwa nzima kujadili ya wenzao.... lakini yao yamewashinda
Nina
kiasi cha shilingi 7mil na ninataka kununua usafiri wangu binafsi.
Naombeni wenye uzoefu na magari mnishauri ni aina gani ya gari naweza
kuipata kutoka show room kwa kiasi hicho cha fedha.
Binafsi nilikuwa napendelea toyota mark II ila sasa sijui bei yake
ikoje.
Then naomba kujua gharama za utunzaji gari zikoje kwa mfano inatakiwa
ifanyiwe service mara ngapi kwa mwezi.
Mshara wangu ni lak 3 kwa mwezi sina familia je nitaweza kuzimudu gharama za utunzaji gari?
Mi nadhani ungefungua buzness ya 5M, baada ya mwaka tunakusahau! ni dalili ya umaskini kuwaza kuongeza matumizi badala ya kuongeza kipato
Tatizo watu mnaogopa kuchagua,kila mtu anataka awe mjasiriamali kwa kufanya biashara iliyo stationed sehemu,what if huyo anaenunua gari anataka limsaidie kwa misele yake ya kutafuta kipato? Still mna mentality kuwa gari ni starehe na sio means ya usafiri tu? Mwachen dada anunue gari hivyo vingine vitapangika afta kulinunua,likimshinda si ataliuza na kurudisha pesa yake!! Msiwe na mawazo mgando kuwa gari ni starehe, watu wanayatumia magari hayohayo kupatia deals mjini.
Duu kweli vijana kazi tunayo vijana una mshahara wa laki 3 unataka kununua gari? Jijenge kwanza dogo kununua gari la matumizi binafsi ni kujipunguzia speed ya kukua kiuchumi.Zungusha hizo mil 7 zako ili kuja kununua gari ukiwa una raha zako zote na uwezo wa kununua fuel
Nunua toyota Passo nakuhakikushia ukiagiza utalipia hadi bima haitazidi 7,500,000.CC haizidi 1300 mafuta inanusa tu.
Kwa misele ya town inakutosha kabisa.