ADVICE: Ninunue gari aina gani?


...dada yangu "miss username" mshahara wa laki3 ! umeweza kudunduliza ukafikisha 7mil. !
- je hizo pesa hazifungamani na MKOPO kutoka taasisi za fedha / za mikopo?

-
 
Full maushauri eeh, nunua Duet inatembea hadi Km 14 kwa lita, ndio ninayoitumia ni nzuri sana. Sijasema engine ni mabaya.

Mpwa Lushoto inafika?
 
wekeni na picha za hayo magari mnayotoa bei zake, sio mnatoa bei tuuuuu, weka na picha
 

Azungushe kwenye nini?mimi nadhani kwa hapa mjini kama unafanya kazi ya kuajiriwa ya kuingia saa mbili asubuh tu jion saa 11, basi gari ni muhimu sana!few things u can do for let's say 7 Million,may b kama wapenda kulima au kufuga huko nje ya mji!otherwise 7 million haiwez kutosha kwa biashara isiyokupa headache! Kumbukeni kufungua biashara sio kazi,kazi ni usimamizi!
Muda utakaopoteza vituoni kama huna gari ni mkubwa sana!
 
Mie mwenyewe nimeshangaa, service rahisi hivyo, nimefanya service kama mwezi mmmoja umepita tena nimefanyia BP sh 70,000

... Mkuu hudumu ya Service ya bei hizi inapatikana wapi? ili nami nikanufaike na hizi garama nafuu...
 
Biashara gan hiyo ya 5M kaka?

Biashara ni mawazo ya mtu! mm ukiniuliza bussness nitakuambia unahitaji mtaji wa atleast 15M, ila kuna mabwana wadogo nawatoaga na tulaki 3-5, na wananirudishia kwamuda mfupi tu! so ulpo ndo utapata mawazo ya bussness!
 
... Mkuu hudumu ya Service ya bei hizi inapatikana wapi? ili nami nikanufaike na hizi garama nafuu...

nunua vifaa maduka ya spea uswahilini.....mpe fundi garage uswazi.....ukija kichwakichwa na suti/tai yako unapigwa double/triple price.....kimoja nilichosahau kutaja ni ENGINE OIL ambayo ni 32,000-70,000 uamuzi wako.....kwa gari hizi ndogo za mjini hapa oil ya 32,000 iko poa tu
 
Mie mwenyewe nimeshangaa, service rahisi hivyo, nimefanya service kama mwezi mmmoja umepita tena nimefanyia BP sh 70,000

thats where the problem is....BP ni expensive for nothing.....kuna ile TOTAL pale morogoro road near mtendeni primary school/AKIBA kuna mpemba pale anafanya bei rahisi sana.....nimesahau kuandika ENGINE OIL ambayo ni 32000-70000 kutegemea na uitakayo.....
 
 
Naomba uzoefu kaka! Kwa laki3 mpaka unameki m7 umefanyajefanyaje! Maana kuna maisha mengine nayo yanahitaji ka laki3 hakohako duh!!
 
Wakuu hajaomba ushauri wa biashara ameomba mumshaur anunue gar gan mshahara wake lak 3 mnajuaje kama hana sources nyngne za kiuchumi mnajuaje kama anakaa kwenye nyumba ya kupanga mmmh mnamakubwa jinunulie spacio ww.
 

Hakuna neno mkuu,hawezi kukuelewa sasa hivi muache ajifunze the hard way kidogo..ni vigumu sana kumuelewesha mtu ambaye hajawahi kumiliki gari kuwa gari ni liability..
Mimi najua watu kadhaa ambao pamoja na kuwa na salary ya Tshs 3m kwa mwezi bado hawajanunua magari ya kutembelea...sasa laki 3 hata mafuta haitoshi
 
Nunua Spacio
Hata mimi nilitaka kumwambia hiyo, Spacio ni nzuri haina gharama sana. Mwaya wasikutishe mshahara mdogo utamudu, halafu ndo utachemsha akili zaidi kuongeza kipato kwa vile utakuwa na miguu.
 
kaka kila mtu na mipango yake
 
yaani kaka mimi kidogo nizimie?
khaaa daladala zimeisha au?
 
hivi laki tatu ..hapo anaishi nyumba gani? bado kulipia parking kila siku sio chini ya elfu moja
majanga sana jamani....khaaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…