Hilo jibu au swali juu ya swali?NN tena???... Supamani wanitafutia kesi au?..
Mwenzangu, huyu supamani sijui madeni yanamchanganya?...anashindwa kukuuliza wewe sekretari wa NN kama boss wako hajambo ananiuliza mimi ntajulia wapi?.., akitokea mke wa NN hapa mie ntajibu nini bht?...anataka nimwagiwe tindikali au?Hilo jibu au swali juu ya swali?
Mkumbushe Supamani na lile deni mie ntakuja baadae
Hahaha! Utasutwa wewe! Mbona nilimpigia mbu afu huniulizi habari zake?...Ooops! Niliona jana mnapigiana kampeni . . . kuleeeee
Hilo jibu au swali juu ya swali?
Mkumbushe Supamani na lile deni mie ntakuja baadae
Mwenzangu, huyu supamani sijui madeni yanamchanganya?...anashindwa kukuuliza wewe sekretari wa NN kama boss wako hajambo ananiuliza mimi ntajulia wapi?.., akitokea mke wa NN hapa mie ntajibu nini bht?...anataka nimwagiwe tindikali au?
Nimesema bht ni sekretari wa NN... Hayo mengine unayajua wewe lol. Lipa deni la watu supamani.Khaaaa kumbe bht na NN damu damu? Ndo baba ya hiyo mtoto kwenye Avatar nini?
Ndo maana haishi kudai deni lililokwishalipwa.
Khaaa, mbu gani ana afya hivyo??? Sijui kama hajambo!Ooops!
![]()
Hajambo?
Aaaah bana.....mie sijui kushushua!! Haya we sema nije saa ngapi, ila kama hakuna kiepe siji...lol!!
Mmmh . . . . .
Ooh! Very sorry supamani...
Ni memba mwenzetu humu ndani...Kwani Mbu unayemsema wewe ni nani?
Astakhafirulah supamani....khaaa!. Hapana bana!Ok . . . Ndo anaitwa MBU? Ndo mtu wako?