Advanced Diploma: Ni Digrii ama nini?

Advanced Diploma: Ni Digrii ama nini?


Mkuu umekwisha sema Adv Diploma sasa shida iko wapi? Kwa hiyo basi kwa Tanzania Adv Diploma ni degree? Hivi hiyo Adv. Diploma umeangalia alichukua masomo gani? Je, degree? Then, ndio nyinyi mnakuja kusema elimu imeporomoka. Angalieni vigezo na masomo ambayo mtu amejifunza kupata hiyo shahada nk. Spain kwa mfano wao wanatumia Baccalaureate lakini kama umefanya nao kazi utagundua wanapwaya sana katika sehemu flani flani, tuache kurukia mambo na kutaka kuhalalisha Advance diploma kuwa sawa na degree. Huo ni umburukenge.
Watu mnajua kujitoa akili kweli, Advanced diploma ni sawa na bachelor degree.
Hata matangazo ya kazi zinaandikwa zote kama una Advanced diploma au degree mnaomba post moja.
Na kwa sasa imeshafutwa haipo.
 
Hao Advanced Diploma wakasome Degree waache uvivu.
 
Advanced diploma sio degree.., ila ni diploma imbayo unaipata moja kwa moja bila kupitia cheti., Na zinatofautiana.., kwa mfano Diploma in Animal health (DAH) SUA., wanasoma miaka miwili., napia zipo zipo advanced diploma kama za CO's (Clinical offers) ambazo ni miaka mitatu
Kwa hiyo Advanced diploma haiwezi kufanana na degrees
 
Dah...naona Mr itanifaa zaidi... nipo kwenye field ya engineering design kwa muda kidogo... waliosoma advanced dip wako vizuri zaidi....mawazo mapana.... good reasoning....wanaelewa upesi sana kuliko hao wengine....hii nadhani kwa sababu wengi wao wameanza kuwa na misingi ya engineering mapema...wengi wao wamesoma technical secondary school...wakaenda technical college....ni wazuri kwa kweli...wamebeba tools za kutosha vichwani mwao kuliko hao wengine....wako tayari kufanya kazi haraka zaidi kuliko wengine....fikiria kwa uchunguzi wangu nilibaini wale wa advanced dip huenda field training mara 5 wakati wale wengine huenda mara 3 -4 wakati wa masomo yao.....unaweza kuwauliza waliosoma advanced kitu muhimu sana...wa nne kati ya watano wakakuelewa....lakini kitu hicho hicho ambao hawakusoma advanced dip wote wasikijue kabisa...
unatakiwa kusema adv dpl ni watu gani tofaut yao na diploma nni ili tuelewe sio kuwasifia
 
TANGU NAZALIWA HADI LEO HII SIJAJUA TOFAUTI KATI YA DEGREE NA ADVANCE DIPLOMA.....

MIMI NINACHOJUA VYOTE VYETI VYA KUOMBEA KAZI OFISINI

HATA MWAJIRI AKITANGAZA NAFASI ZA KAZI "" SLOGAN YAKE KUU UWE NA DEGREE AU ADVANCE DIPLAMA .
 
Huna unalolifahamu better keep quite and let those who knows better to inform you
Poo understanding, poor grammar ,poor minded Tanzanian .Unfortunately, you're seriously cheating others
 
Umenichekesha sana we mtu.
Khaa kwa hiyo ukaona umthibitishie in English kumuonesha kuwa uko educated enough to know that advance diploma is not equivalent to 1st degree..

I hope ujumbe amepata
Mi nina wasiwasi na uwezo wako wa kuelewa mambo. Ila wapaswa hata kufahamu kuwa vigezo vya kujiunga first degree ni tofauti na advanced diploma na ukihitimu title ya vyeti vyenu ni tofauti
Therefore these two levels of education do differ to some extent in their quality though they are equal
 
Back
Top Bottom