Advanced Diploma: Ni Digrii ama nini?

Advanced Diploma: Ni Digrii ama nini?

Advanced diploma mara nyingi wana idadi sawa ya miaka ya masomo na shahada ya kwanza.kwa baadhi ya vyuo na kozi huwezi pata mastarz degree km huna post graduate diploma ila lwa wengine unasoma postgraduate ikiwa gpa ya degrer au advance diploma haijakidhi vigezo.
Kwa upande wa shahada tanzania zilikua chache hivyo hata km ana vigezo na anataka kusoma mfano commu ity development hana jinsi zaidi ya kwenda mzumbe idm akasome advance diploma kwa maana udsm wanatoa ba sociology.
Lakini pia malengo ya kuanzisha kozi ilikua kuwapata watu wewenye maarifa ya shahada kwa maana wasimamizi na wenye ujuzi wa kutenda kazi kwa maana technical skill ili kupunguza gap la upungufu wa watumishi.hapa ndipo shajada anapigwa bao kwa maana kwenye maarifa wako sswa na advanced deploma ila ukija field kwenye skills mtu wa shahada anakuwa anaachwa mbali. Na ndoo maana mshahara wa afvanced diploma na wa degree ni rank moja.
Hivyo basi advanced diploma ni zaidi ya ordinary diploma ila inalingana na shahada
 
Advance diploma is equivalent to degree but not equal to degree
 
Uanzishwe utaratibu Advanced Diploma wapewe additional course ili wafikie level ya Bachelor Degree.
 
Wadau tafadhali msaada nimekutana na wahitimu wanaodai wana Vyeti vinaitwa Advanced Diploma nataarifiwa "eti" kuna sehemu wanalinganisha na shahada ya kwanza ya Chuo kikuu. Tafadhali mwenye ujuzI anijuze. Samahani lakini.
advanced/higher diploma ni ngazi ya elimu katika katika mfumo wa nacte ambapo nacte wao wanatumia NTA levels (national technical awards) ambapo advanced/higher diploma ni NTA level 7 sasa ili mtu mwenye advanced/higher diploma awe equivalent na degree holder anasoma NTA level 8
 
Hiyo ni NTA level 7

Degree ni NTA level 8

Ni tofauti.......

National Technical Award
 
Wana Advance Diploma rudini shule ( Samahani lakini). Awamu hii hamna ukanjanja.
 
advanced/higher diploma ni ngazi ya elimu katika katika mfumo wa nacte ambapo nacte wao wanatumia NTA levels (national technical awards) ambapo advanced/higher diploma ni NTA level 7 sasa ili mtu mwenye advanced/higher diploma awe equivalent na degree holder anasoma NTA level 8
Mkuu, hiyo unayoitaja sasa ni kwa kizazi hichi cha TCU na NACTE, kumbuka zamani ilikua ni Higher Education Accreditation Council. NACTE ilipoanzishwa ikaamua ku phase out mfumo wa Advanced Diploma na kuanzishwa Bachelor Degree.
Kwa kuangalia Lecture Notes na Contents, kama somo fulani lilifundishwa Advanced Diploma, basi hata kwenye degree ni hivyo hivyo.
Lakini kwenye Degree yaliongezeka masomo mengi mengine ya ziada(More Fundamental Modules) wakati kule kwenye Advanced Diploma msisitizo ni kwa masomo ya fani husika(Core modules/Subjects).
Ila kimsingi ni kama HAKUNA TOFAUTI YOYOTE.
 
Hebu tuache mbwembwe wa kusoma na asome kwa bidii.
Ninachojua mm mtu wa Bsc Engineering anajua mambo mengi japo ni partial na nilazima ajua course nyingine za Engineering so anaweza kuwasimamia hao wa Advanced diploma hata wa course kumi tofauti.
 
Diploma ni diploma tu haiwezi kuwa degree. Mambo ya kutaka kujikweza tu,kama huna degree huna tu.
 
Diploma ni diploma tu haiwezi kuwa degree. Mambo ya kutaka kujikweza tu,kama huna degree huna tu.
Sio kujikweza. Kuna kozi ambazo zilikuwa hazipatikani kwa degree. Kuna ndugu yangu alitaka alipata DIV 1 form 6, ila alitaka kusoma kozi ya BIMA (INSURANCE). Na kwa hapa nchini ni chuo cha IFM peke yake ndo kilikuwa kinatoa hyo kozi. Ilikuw ni lazima aende tu pale. Siku hz ndo wameanza kutoa degree, lakn those days ilikuw ni Adv. Dipl. tu. Kwahyo sio kwmb watu hawana sifa. Sema labda kwa sababu "degree sounds good".
 
advanced diploma
mbona iko kimataifa
ukienda german, uk, usa, hispain, france nk mfumo wa diploma na advanced diploma upo so msikalili na degree wakat waliowaletea elimu wanatumia hiyo mifumo na hpo mpaka saaa
ila ikumbukwe tu si nchi zote zina mfumo wa long pass kama wa form6
mfano kenya hawatumii form6 wao wana mifumo miwili tu ya kuibgilia chuo yaan form4
incase kama ujafikisha cut off point unaazia diploma na kama ujafikisha point nZur za kuingia chuo baada ya diploma unaenda advanced diploma then postgraduate diploma to musters
so hii mifumo ya kuingilia chuo kikuu inatumika dunia nzma
mwisho uwez kua kiongoz mzur ikiwa ktk taaluma hiyohiyo uwez kumake practice utasimamia vp ikiwa project imeenda wrong
so me japo nilipita six then chuo ila nawa respect jamaa wa diploma coz ni watendaji wazur na wanaijua kaz so huyu mtu akienda chukua degree na kusomea uongoz hakika anakua kiongoz mtendaji na si wakupigwa na kiyoyoz mda wote coz inaeleweka diploma yuko.more practically few knowledge of theory applied while digrii tulifundishwa more apply theory than practical
hii inamanisha nini wa diploma pia anaweza kua msimamizi(kiongoz) kama wa degree pind akienda soma degree but wa degree hawez change kua mtendaj coz ana less practical
 
Ngoja niwape Siri. Kinachoangaliwa ni adv diploma ni yangu miaka mingapi? Kama ni mitatu ni equivalent to degree sio degree. Ila pia Kinachoangaliwa ni contents mtu alizosoma na ufaulu.
Usisome bachelor una pass ujilinganishe na adv Mwenye First Class.
Mfano kwenye master kuna watu wa adv dip wanakubaliwa, na wa degree anakataliwa, hapo ndio utaelewa.
 
Uanzishwe utaratibu Advanced Diploma wapewe additional course ili wafikie level ya Bachelor Degree.
Inategemea a kozi na madhumuni ya mhusika km adv dep anaanza na tgs d. Na degree anaanza na tgs d on the same institution unaenda kusoma ili iweje? Km tchnical course adv diploma yupo juu mno ya degree. Labda common course km communication skills nk ambazo wanazisoma ila sio km wa degree.
Km mastaz wote wana dahililiwa sawa unless kuna restiction flani za gpa( ambqzo hata degree anahusikia) au kwa vyuo flani.flan
 
Sio kujikweza. Kuna kozi ambazo zilikuwa hazipatikani kwa degree. Kuna ndugu yangu alitaka alipata DIV 1 form 6, ila alitaka kusoma kozi ya BIMA (INSURANCE). Na kwa hapa nchini ni chuo cha IFM peke yake ndo kilikuwa kinatoa hyo kozi. Ilikuw ni lazima aende tu pale. Siku hz ndo wameanza kutoa degree, lakn those days ilikuw ni Adv. Dipl. tu. Kwahyo sio kwmb watu hawana sifa. Sema labda kwa sababu "degree sounds good".

Mkuu umekwisha sema Adv Diploma sasa shida iko wapi? Kwa hiyo basi kwa Tanzania Adv Diploma ni degree? Hivi hiyo Adv. Diploma umeangalia alichukua masomo gani? Je, degree? Then, ndio nyinyi mnakuja kusema elimu imeporomoka. Angalieni vigezo na masomo ambayo mtu amejifunza kupata hiyo shahada nk. Spain kwa mfano wao wanatumia Baccalaureate lakini kama umefanya nao kazi utagundua wanapwaya sana katika sehemu flani flani, tuache kurukia mambo na kutaka kuhalalisha Advance diploma kuwa sawa na degree. Huo ni umburukenge.
 
Back
Top Bottom