Kea ufaham wangu ninaojua, advanced diploma sio degree. Iko hivi kwa sis sector ya uhandisi baadh ya vyuo kama dit, degree huwa in miaka minne kwa fresh students. Na mitatu kwa wanafunz waliosoma diploma, kwa fresh student anapoingia mwaka wa tatu anakuwa yuko advanced diploma na akisoma na mwaka wa NNE anakuwa na bachera degree kwa upande mwingine wanafunzi walisoma diproma anapokuwa anapoingia mwaka wa pili anakuwa yuko advanced diploma na anapomalizia mwaka wa tatu anakuwa na bachera degree