Advanced Diploma in Dermatovenereology (ADDV)

Advanced Diploma in Dermatovenereology (ADDV)

Ni amini hawachukui Clinical officer kwa Tanzania!Wanachukua AMO tu na wanachukua CLINICAL officer kwa nchi za nje !
AMO si ilishafutwa?

Sasa watawapaje hao applicants kama hakuna AMO wanaozalishwa, au wanategemea AMO wa zamani tu.
 
AMO ilishafutwa tayari, hivyo itakuwa ni Upumbavu kama watasema kigezo uwe na AMO wakati AMO YENYEWE HAIPO.

C.O anasoma hiyo kozi shida ni NAFASI ya Kupata ni kipengele
 
Back
Top Bottom