ADV motorbike

ADV motorbike

EHK

Member
Joined
May 19, 2011
Posts
83
Reaction score
113
Habari wadau,

Naomba kupata experience yenu ya pikipiki za Adv kwa sasa nina options 3, Honda (& PCX), Kinglion na Sinoray. Lakini pia bike moja ya Sinoray, ina mwonekano wa Honda Vario. Naom a experience juu ya performance, durability, availability ya spare, changamoto zake etc.

Naamini Honda ama Yamaha zitakuwa nzuri zaidi ila bajeti yangu inaweza kuwa changamoto ila yote kwa yote ningependa kupata overall experience. Nawasilisha.
 

Attachments

  • 2025-Honda-ADV160-Matte-Green-Malaysia-2-BM-1200x899-1.png
    2025-Honda-ADV160-Matte-Green-Malaysia-2-BM-1200x899-1.png
    197.9 KB · Views: 5
Chukua Honda Pcx ndo natumia now nina miezi miwili tangu nimvue mtu...ni kali kinoma na salama.
 
Back
Top Bottom