Adui wa TTCL ni Issa Omari aliyekuwa Mkurugenzi wa Kwanza CELTEL

Kimla

JF-Expert Member
Jun 8, 2008
3,337
5,574
Kwa kufuatilia nimegundua kuwa Adui wa watanzania katika kuuza hisa za TTCL ni bwana issa Omari aliyekuwa CEO wa kwanza wa CELTEL na baadaye akawa CEO wa president delivery Beural (PDB/BRN) baada ya kuteuliwa na kikwete. Wazee wetu wakina Warioba licha yakujua sheria wakabariki inchi yetu kuibiwa. Tunawalaani wote waliochangia nchi yetu kuendelea kuliwa badala ya kusiadia nchi kusonga..Soma Gazeti la Mtanzania na the gurdian kuona ukweli wa mambo.
 
Mimi nasubiri kuona kama Dr Mpango ataendana na kasi ya Magufuli katika hili jambo!
 
Kwa kufuatilia nimegundua kuwa Adui wa watanzania katika kuuza hisa za TTCL ni bwana issa Omari aliyekuwa CEO wa kwanza wa CELTEL na baadaye akawa CEO wa president delivery Beural (PDB/BRN) baada ya kuteuliwa na kikwete. Wazee wetu wakina Warioba licha yakujua sheria wakabariki inchi yetu kuibiwa. Tunawalaani wote waliochangia nchi yetu kuendelea kuliwa badala ya kusiadia nchi kusonga..Soma Gazeti la Mtanzania na the gurdian kuona ukweli wa mambo.
Wewe uliyesoma hilo gazeti la Mtanzania hadi likakufunguwa kujuwa nani ni mbaya, ulitakiwa uweke points mbili tatu kutoka huko zenye kusapoti claim yako. Huwezi kuja hapa na porojo ama hisia zako badala ya hoja.

Siyo magazeti yote yanapatikana mtandaoni. Na hata likipatikana, siyo current news.
 
Joseph Sinde Warioba nae alikula Mgao wake akaja kuigiza Uzalendo Sijui Tunu za Taifa kwny Katiba Mpya kwa Malipo ya laki Tano kwa Siku yeye na Polepole!
Watanzania wote Uzalendo wao ni wa Mdomoni

Wazalendo halisi washakufa Kina Nyerere na Karume na kawawa, Hawa kina Mwigulu Uzalendo wao ni kuvaa tie na skafu za Bendera ya Tz si zaid ya hapo
 
Joseph Sinde Warioba nae alikula Mgao wake akaja kuigiza Uzalendo kwny Katiba Mpya kwa Malipo ya laki Tano kwa Siku
CCM YOTE IMEOZA , tukifukua makaburi ya ujenzi wa barabara utagundua kwamba Kampuni iliyojenga barabara ya Mwanjelwa - Kasumulu haikupewa kazi tena kwa kosa la uaminifu wa kujenga barabara imara sana .

Je hili kaburi lifukuliwe mpoteane ?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom