MALCOM LUMUMBA
JF-Expert Member
- Jul 26, 2012
- 20,897
- 63,784
Mtu kaua ndugu zake zaidi ya 15, leo anaona sababu ya kumpenda?Hawa waarabu ni bora wangekuwa weusi tii ili tujue moja
Weusi tii kwa nini? Rangi yangu nyeusi ni utukufu wa Mwenye Enzi Mungu! Acha kujidhalilisha kiasi hicho, waache wabaki na mirangi yao kama nguruwe!Hawa waarabu ni bora wangekuwa weusi tii ili tujue moja
Mzungu kaa naye kwa HEKIMA NA BUSARA! Ukifunga jicho tu anakumaliza! Lakini hakuna kinachomshinda MAULANA!Bado nina kitu kuwa sikufurahia mauaji ya Saddam na Ghadafi, hata tangu waanze kusumbuliwa sikufurahi. Kwa sababu nilijua wananchi wataishi vibaya zaidi. Na ndivyo ilivyo, na inasikitisha. Wazungu hawataacha kuwa wachochezi na waongo kwa kupata wao faida ya wanachotaka. Ila wengine wa Iraq maisha yanaendelea hivyo hivyo na kupenda ya sasa...ni ngumu shaaaaa kila mtu na lwake
Duuu nguruwe? Hivi Hilo jina la ISIS Limebeba taswira ya Nani?Weusi tii kwa nini? Rangi yangu nyeusi ni utukufu wa Mwenye Enzi Mungu! Acha kujidhalilisha kiasi hicho, waache wabaki na mirangi yao kama nguruwe!
Hatujidhalilishi angalia mengi yanayofanywa na watu weusi halafu baki na,jibu lako mengine ni fedheha mkuuWeusi tii kwa nini? Rangi yangu nyeusi ni utukufu wa Mwenye Enzi Mungu! Acha kujidhalilisha kiasi hicho, waache wabaki na mirangi yao kama nguruwe!
Ukiona hivyo waliopo madarakani wameuwa ndugu wengi zaidi ya hao 15Mtu kaua ndugu zake zaidi ya 15, leo anaona sababu ya kumpenda?
Waliopo madarakani wameua ndugu zake wangapi kuifunika chuki ya kuuliwa ndugu 15??????
Mjomba umenivunja mbavu leo !Hawa waarabu ni bora wangekuwa weusi tii ili tujue moja
Angewataja kama alivyowataja waliouliwa na Sadam husein.Ukiona hivyo waliopo madarakani wameuwa ndugu wengi zaidi ya hao 15
US ndio chanzo ya yote hayoDaaah safi sana, leo yamewakuta akili imewakaa sawa
Kama kuna laana flani hivi , anyway irak asilimia kuwa ni waajemi sio waarabuHatujidhalilishi angalia mengi yanayofanywa na watu weusi halafu baki na,jibu lako mengine ni fedheha mkuu
Ubaguzi Haujawahi mwacha MTU saalamaWeusi tii kwa nini? Rangi yangu nyeusi ni utukufu wa Mwenye Enzi Mungu! Acha kujidhalilisha kiasi hicho, waache wabaki na mirangi yao kama nguruwe!
Waarabu wanachonganishwa na wazunguHawa waarabu ni bora wangekuwa weusi tii ili tujue moja