Adui wa kwanza wa Tanganyika ni China

Adui wa kwanza wa Tanganyika ni China

Retired

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2016
Posts
50,140
Reaction score
96,164
Puuzi so.called Waziri wa Mambo ya Nje Anampongeza kwa kupata asilimia 98. Hakuongelea mauaji yaliyotokea 29.10.2025.

Huyu ndiye adui wetu!

20260112_190918.jpg
 
China wakati mwingine inakuwa na misimamo ya hatari sana, ya ku support udikteta jambo ambalo ni hatari kwa China yenyewe. Nchi ikija kuingia kwenye machafuko, raia wa kichina walioko Tanzania wanaweza kuwa target kwa sababu ya kulipiza kisasi. Ni hatari sana, japo wanadhani watanzania ni waoga.
 
Infact China ni open prison/jail! Ni mahabusu ya Wazi! maana wanaishi kama walo mahabusi/jela kwa demokrasia inavyominywa
 
Kwa hyo gen z mnataka muandamane kuipinga china

Na huo uadui kati ya tanganyika na china umeanza lini au umeanza dk tano zilizopita?

Kajazane kwenye page ya trump mmchongee mchina kuja tanzania.
 
Kuna kipindi nilikuwa Shangai kama ilivyo kawaida nikiwa nchi za watu kama mgeni usiku lazima nitafute usafiri kwenda clubs mbalimbali kuenjoi na kuona hekaheka za usiku.
Nilipofika club moja hapo mjini kati baada ya dk 5 Polisi walivamia club na tukaondolewa nje kwa searching ya kitu wanakiita madawa ya kulevya.

Pale ndo niligundua wananchi wa chini bado wanaishi kama watumwa regardless ya kuwa na miundombinu mizuri.
All in all hakuna nchi inaweza kuboresha maisha ya wananchi wake kwa kutegemea nchi ya China kitakachotokea ni wananchi wa nchi husika kuwa watumwa kwa viongozi wao ambao watakuwa mafisadi na matapeli sana pia kuusujudia raia wa China kwasababu watakuwa wanawalambisha asali viongozi na wanasiasa.
 
Puuzi so.called Waziri wa Mambo ya Nje Anampongeza kwa kupata asilimia 98. Hakuongelea mauaji yaliyotokea 29.10.2025.

Huyu ndiye adui wetu!

View attachment 3529067
Yani apoteze mda wake Kwa kuwaongelea watu waliotaka wenyewe kufa?

Hata wewe kama unataka kufa nenda ukachome moto Mali za watu na miundombinu ya serikali
 
Back
Top Bottom