Adui namba moja wa mapenzi

Wengi watakujia juu hapa na porojo zao wakijaribu kuiaminisha jamii kwamba ni wajibu wa mwanaume kumhudumia mwanamke...usishangae mkuu ndizo tabia za waafrika karibia wote
Kuna filamu moja nilikuwa naiangalia jana inaitwa "ASSAULT ON WALL STREET"
Mule ndani namuona mwanamke anavyokosa raha kwa sababu mzigo wote wa matibabu yake kaubeba mumewe na yeye hana msaada wowote na inafikia hata kumkataza mumewe asiendelee kumlipia gharama za matibabu
My call:
Ukiona mwanamke anakuomba pesa basi ujue yupo na wewe kwa sababu ya pesa zako, na ikitokea huwezi mpatia pesa basi atakuacha na kwenda kwa mwingine mwenye nazo
NOTE
Hakuna mapenzi yenye raha na uhuru kama ya watu wawili wanajitegemea kiuchumi na kifikra
 
Kuna kumgai hela demu wako za matumizi ya kawaida na kujinunulia vitu kama manukato, chupi, sidiria, nguo na vipodozi. Lakini sio kumsomesha na mikopo ya ki maajabu.
 
aje achukue nyumbani akija unapga mbili then unamwambia hela huna
 
Ukipenda boga penda na ua lake STUNTER........Ila vipi kuhusu ile thread yako uliponda sana guys ambao wanalalamika kutolewa upepo ovyo na kinadada.....?!!!uliwapa sana shit niggas kwamba wasicomplain wakiombwa cash by the goozers.
 
Ukipenda boga penda na ua lake STUNTER........Ila vipi kuhusu ile thread yako uliponda sana guys ambao wanalalamika kutolewa upepo ovyo na kinadada.....?!!!uliwapa sana shit niggas kwamba wasicomplain wakiombwa cash by the goozers.
Mwanaume unatakiwa utoe hela, lakini kwasababu maalum
 
hat muongee vipi washakunywa sumu ya mizinga yani maziwa yanadunda
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…